Kumbe Degree haisaidii ku win Life???

Hadi umeshindwa kuelewa umuhimu wa kwenda shule basi unastahili huruma.Ila unajua kuna vitu viwili yaani ELIMU YA JUU na MADARASA YA JUU ukishindwa kuvitofautisha hivi vitu lazima utajikuta unaropoka kama thread yako inavyojieleza.
 
Umewahi sikia profesa ni bilionea katika ulimwengu huu?
yes
kuna yule professor wa korogwe mheshimwa maji mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ana volkswagen tisa ,mgongo wa amphibian old xull
 
pole sana mleta mada kwa kukosa elimu ya chuo........ila sio siri wasomi tunafaudu maisha kiulaini sana........
 
Mkuu comment yangu hii niliwahi kucomment bongo celebrity mwaka 2008, Topic ilikuwa kuhusu mr blue[/QUOTd

Du charles darwin bado yu hai? au wewe ni chalesi daluwini? jamaa amenukuu we unasema comment yako?
 
Sawa nakubaliana na wewe,lakini mwenye elimu ana-chance kubwa na inamuwia vyepesi kidogo kutoka kimaisha kuliko mtafutaji mwenye elimu ya kuunga unga!
 
Kufeli masomo sio kufeli maisha,ila elimu ni muhimu tu, elimu kwa bongo sioni faida yake maana wasomi wetu ndio wanaongoza wizi na kuifanya nchi kila siku izidi kuwa maskini'yaani wanasoma ili tu wapate njia ya kuibia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…