Kumbe Chama cha Mapinduzi kinapendwa kiasi hiki?

Walau CCM inakademokrasia kuzidi vyama vingine tulivyonavyo.
Daby unajua huwa nakuamini kiasi Fulani. Kama unaanza kutoa analysis of this nature, unaniweka njia panda! Demokrasia ipi? Kuhesabu kura hadharani ndiyo demokrasia tunayoipigania. Kuhesabu kura ukumbini tu, tayari ni demokrasia...This a small part of demokrasia people are fighting for!
 
Mna kismati cha paka cha kupendwa na wachawi
Demokrasia ya fomu moja ninyi ni malofa
 
Daby unajua huwa nakuamini kiasi Fulani. Kama unaanza kutoa analysis of this nature, unaniweka njia panda! Demokrasia ipi? Kuhesabu kura hadharani ndiyo demokrasia tunayoipigania. Kuhesabu kura ukumbini tu, tayari ni demokrasia...This a small part of demokrasia people are fighting for!
thats a very big demokrasee my friend
 
Mbona hawakuruhusu mwenyekiti wa Taifa apitie chekecheo la kushindanishwa kama wengine?

Vv
anakubalika na kulikua hakuna sababu ya msingi kufanya hivyo...wote tulimpa kura za NDIOOO
 
jamani Bia Yetu Yuko Wapiiiii? nahitaji sana maoni yake kipindi hiki cha kura za maoni.
 
Kwenye Nyumba za Ibada utasikia Shetani anatajwa kila Mara.. Ina maana Shetani anapendwa sana?
 
Ukiingia kwenye mitandao ni CCM, CCM, CCM, hata wale wabunge wa upinzani wanaifuatilia Chama cha Mapinduzi, hakika chama hiki kinapendwa sana na watu.

Embu jaribu kuona ya kua, katika kura za maoni, wabunge wa upinzani wanashangilia watia nia waliondolewa katika kinyang'anyiro, na kuwafurahia wale walioshinda, hii inaonesha ya kua wanaamini CCM ni chama kizuri na kinafanya mambo kwa uwazi na kwa demokrasia ya hali ya juu, na wao wanasapoti kwa asilimia kubwa sana ndio mana unaona wako macho kufuatilia kila hatua katika kura za maoni sehemu mbalimbali nchini.

Hakika CCM ni chama tawala na chama pendwa kabisa, na tunaomba muendelee hivyo hivyo kukisapoti. Pia hata wale mnaowacheka waliohama vyama vya upinzania bado wataendelea kua wanachama wa CCM na zaidi nafasi katika serikali ziko nyingi na bado nchi inahitaji wachapa kazi, kwahio kufurahia kwenu kisihitimishe kua sasa ndio hawana lolote.

CCM ni chama kikubwa, pia serikali yetu ni serikali sikivu, na naamino hao waliobwagwa sio mwisho wa maisha. Teuzi bado ziko nyingi.

Kidumu chama tawala.

Kumfatilia shetani hakumaanishi ni muumini wake.
Tumeshangilia wajumbe wakitembeza spana kwa wahamiaji waliondoka kwa mbwembwe na kutukana walipotoka wakiwa na uhakika wakidhani chaguzi mkuu ni sawa na chaguzi za marejeo tuliwaonya awakusikia yamewakuta sio kwenye ubunge sio kwenye udiwani.Ccm inakupenda ili ikuharibie
 
Wengine wasema upinzani utakufa wamekufa wao, Asanteni wajumbe copy Wassira na makondakta
 
jamani Bia Yetu Yuko Wapiiiii? nahitaji sana maoni yake kipindi hiki cha kura za maoni.
Buku 7 waliobaki ni wachache wanajigharamia wenyewe,wengi wamechoka kukopwa wanafanya kazi zingine sio za kichama
 
Ukiingia kwenye mitandao ni CCM, CCM, CCM, hata wale wabunge wa upinzani wanaifuatilia Chama cha Mapinduzi, hakika chama hiki kinapendwa sana na watu.

Embu jaribu kuona ya kua, katika kura za maoni, wabunge wa upinzani wanashangilia watia nia waliondolewa katika kinyang'anyiro, na kuwafurahia wale walioshinda, hii inaonesha ya kua wanaamini CCM ni chama kizuri na kinafanya mambo kwa uwazi na kwa demokrasia ya hali ya juu, na wao wanasapoti kwa asilimia kubwa sana ndio mana unaona wako macho kufuatilia kila hatua katika kura za maoni sehemu mbalimbali nchini.

Hakika CCM ni chama tawala na chama pendwa kabisa, na tunaomba muendelee hivyo hivyo kukisapoti. Pia hata wale mnaowacheka waliohama vyama vya upinzania bado wataendelea kua wanachama wa CCM na zaidi nafasi katika serikali ziko nyingi na bado nchi inahitaji wachapa kazi, kwahio kufurahia kwenu kisihitimishe kua sasa ndio hawana lolote.

CCM ni chama kikubwa, pia serikali yetu ni serikali sikivu, na naamino hao waliobwagwa sio mwisho wa maisha. Teuzi bado ziko nyingi.

Kidumu chama tawala.
Hata ukienda madukani zinauzwa sare za CCM, huwezi kuona nguo za vyama vya malofa na wapumbavu kwani hazina soko.
 
Demokrasi ya kumfukuza Membe kwa sababu tu alitaka kuchukua form ya uongozi?

Demokrasi ya kumpa sumu Mangula kwa sababu tu alipinga Membe kufukuzwa?

We vipi? 😳😳😳

Back
Top Bottom