Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Kwa hiyo ulitaka siasa ya maonyesho ? kuchapisha form nyingi wakati wenyewe wakijua pasi na shaka ya kuwa Mkulu atapita tuu. Mbona hili la Majaaliwa huko Lwanga halizungumzii au kwa kuwa tuu form zilichapiswa nyingi.Demokrasia ya kuchapisha fomu moja ya mgombea urais?
Nafahamu hata wewe kwenye Heart of your hearts yako, unajuwa kuwa kwa ulivyo sasa hivi kwa CCM Mkulu atashinda tuu.Mnapendezwa
wananchi wachukuliwe 1. 000,000 yao kwa kununua form wakiwa wanajua hawashindi? Na ufahamu hilo sawa na michango ya wap[inzani wa Mkulu watampelekea Mkurugenzi wa Uchaguzi bure kwa kisingizio cha demokrasia.