Kumbe CHADEMA walishindwa Iringa?

Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa.

Kweli CCM sasa hawataki mchezo.
Walishindwa kuchakachua kura,walishindwa kuiba kura,walishindwa kutoa pilau kwa wapiga kura,walishindwa kugawa tshirmt na khanga?hebu acha masaburi kama baba zako na baba zako wadogo magamba wanavyofikiri kuwa muwazi yaani magamba kimewaadhiri hadi wanachama wake kwa ufinyu wa kujieleza na kufikiri
 
Back
Top Bottom