Kumbe buguruni kuko hivi!!!!!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Rafiki yangu aliniambia kuwa alipokuwa chuo alikuwa akienda kujipatia huduma kwa Sewa Buguruni. Alinieleza kuwa kila alipokuwa akienda alikuta wanachuo wengi nao wakipata huduma mbali mbali mbali hapo hapo au take away.Akasema kuwa walikuwemo pia wanachuo wa kike wakijipatia mapesa. Nilishangaa sana.Natamani niende nifanye research participatory.
 
ha ha naona unataka kufanya PRA..Pastipatory Research Aprisal..take care kuna mwenzio aliwai kupewa vitu mpaka akamtapikia mwenzie wa kike kwenye paji la uso...
 
Si kila kitu lazma ufanyie research kwa karibu..angalia na eneo lenyewe....kwa Buguruni hupaswi hata kufanya research....we pigia mstari....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom