Kumbe Bora Niwe 'Bachela'

Kumbe Bora Niwe 'Bachela'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
247182_438940006200666_311574995_n.jpg
 
Hakuna kitu vyote vinaumuhimu wake na asala zake pia.
 
Can't imagine life without my cutee...
mengine tunajifariji tu...!
 
Umetaja faida tu ambazo hazina matatizo kiafya, hebu taja hasara kama hizi
1:kupiga punyeto
2:hasira za mara kwa mara
3:unakua mpumbavu na limbukeni baadae ukija kupendwa
4:wengi wao wanapata maradhi kama mgongo, na kupiga punyeto
6:hawana hekima linapotokea tatizo
 
acha kujifariji yale maumbile yameumbiwa yawe shirikishi yaani vinashirikiana na kutegemeana haswaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom