zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
- Thread starter
-
- #41
Nchi ishameguka unakumbuka kujengwa,We utakuwa magamba tu tena original,Uhusiano wa kukufanya uwe na hasira kwa kuambiwa mmiliki wa meli na magamba upo wapi? zaidi ya roho mbaya uliyonayo? tuwe wakweli nchi hata siku moja haitajengwa kwa mawazo ya ajabu kiasi hiki
Hawatofautiani. Huyu ana bonge la apartment buildings Upanga na Mikocheni. Aliyapataje?Kama ni hivyo basi Dr. Hussein Mwinyi amejitahidi sana kuji-camouflage! ame-keep low profile kumbe hatofautiani na Riz1!!
Nyumba anayokaa dodoma ni ya kupanga na Kodi ni zaidi ya Milion moja kwa Mwezi.Hawatofautiani. Huyu ana bonge la apartment buildings Upanga na Mikocheni. Aliyapataje?
Sitti Mwinyi siye mama wa Husein Mwinyi?
Baada ya Kuripotiwa Mmiliki wa Meli ni yule mbunge mh Jaku.kumbe yule ni Msimamizi tu,lakini wamiliki halali ni mke alieachika wa awamu ya pili aliekutwa na madawa ya kulevya Bi Siti Mwinyi.Na mwanae Dr Hussein mwinyi ambae ni Waziri wa ulinzi.
Baada ya kusikia hZ TAARIFA nilianza kuziuliza kwa wapemba ninao wafahamu ambao ni wanajeshi jwtz Wote walikiri kuwa Wamiliki wa Meli hao niliowataja hapo juu na wakaenda mbali zaidi kuwa serikali haitamtaja kamwe,zaidi ya kuweka propaganda tu hapo
"Wazanzibar wengi tunajua hilo lakini hatuwezi kusema"
Kama hz hbr ni za kweli sitakuwa na budi kuendelea kuchukia HAYA MAGAMBA.
Insurance Ilikuwepo nadhani watakuwa Alliance kama sikosei lakini kuna Conditions zake za kulipa.hivi hiyo meli ilikuwa na insurance? Je, waliofiwa wanalipwa fidia kiasi gani? Ama ndio pata potea?
Jamani mmiliki wa meli ana kesi ya kujibu?? kama kibali cha biashara anacho tatizo lipo kwa mamlaka zinazosimamia usafiri wa majini..
Hapa auliziwe ni nani mwenyekiti wa mamlaka ya usafiri wa majini Zanzibar?? na woote walio chini yake..Awe Sitti mwinyi au Husein au hata mimi mwenyewe..Je nikakae kuangalia meli imepakia abiria wangapi na wakati kuna watu wenye wajibu bandarini? Sasa kwenye Ndege ingekuwa ni lengo kujaza si wangepakia kama magari ya Mbagala??? Hapa pana hoja ya maana ambayo ni walioundwa kuwa tume na wenye mamlaka ya usafirishaji Zanzibar Si mtoto wa mjomba kwa shangazi????? Nimeyazoea hapa unguja..kila mtu ndugu kwa mwenzie...
Hapo siri kufumuka ni ishu ngumu sana,kwan hata tume imeundwa na walewale watuhumiwa.