Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

Status
Not open for further replies.
B

bluecolour

Senior Member
Joined
May 20, 2013
Messages
199
Likes
77
Points
45
Age
24
B

bluecolour

Senior Member
Joined May 20, 2013
199 77 45
Ikiwa Ni Miaka Miwili Tangu Tupoteze Ndg, Jamaa & Marafiki Ktk Ajali Ya Kuzama Kwa Meli Ya Mv Spiee Islander Ameibuka Bint Mmoja Anayeitwa Theresia Na Kudai Ndiye Aliyeizamisha Meli Ya Islander Kichawi Usiku Wa Tarehe 9/9/2011 Katika Mkondo Wa Nungwi Ikiwa Ni Kutii Agizo La 'wakubwa' Katika Zoezi La Kukusanya Damu Kwa Matumizi Ya Kichawi.

Theresia Ameeleza Hayo Wakati Akitoa Ushuda Mbele Ya Mch Gwajima Katika Viwanja Vya Tangamano Jijini Tanga... Theresia Ameendelea Kumwaga Siri Kwa Kusema Alichukuliwa Kichawi Na Kupelekwa Katikati Ya Bahari Ya Pacific Na Kuishi Miaka Saba Akifundishwa Uchawi Huku Mama Yake Asijue Lolote Kwa Kuachiwa Toy Alilojua Mwanaye Kwa Kipindi Chote Hicho.

Theresia Huku Akiongea Na Maneno Kadha Ya Kingereza (english) Safi Aliendelea Kudai siku Ya Tukio Alitumwa Na 'Wakubwa' Akiongoza Kikosi Cha Watu 4 Yeye Wa5 Walifanikiwa Kuivutia Chini Ya Maji Meli Hali Iliyosababisha Vifo Vingi Na Kurahisisha Zoezi La Kukusanya Damu Hiyo.

Source: Mwenyewe Nikiwa Tangamano & Amani Tanzania...!
USHUHUDA KAMILI WA BINTI ALIYEDAI KUHUSIKA KUZAMISHA MV SPICE HIGHLANDER[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Theresia akieleza ushuhuda kamili huku mama yake pembeni akisikiliza.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Siku moja nilikuwa nimetumwa na mama yangu mkubwa, wakati navuka barabara ghafula nikakutana na mtu ana kila kitu kimoja , akajitambulisha kwa jina la Lucifer akanipa mkono ila nikakataa, akauchukua mkono wangu kwa nguvu akanikumbatia, nikajikuta chini ya bahari. Akaja mwenyewe nikaogopa sana akaniambia nimekuchagua kwa sababu nimekuchagua hata kabla hujazaliwa. Kwa sababu una akili sana.

Akaniambia nilipozaliwa aliniwinda sana ila alishindwa kunichukua kwa sababu bibi yangu alikuwa ananiombea sana . Lucifer kaniambia anataka niwe mke wa mtoto wake. Tukafunga ndoa na baada ya miezi 6 baba yake akaniambia anaweza kunipa nguvu nyingi sana lakini anataka nimtumikie yeye. Baada ya miaka 6 akanipeleka sehemu Fulani ndani ya bahari ya pacific lakini ni chini sana, sehemu hiyo ni mji kama ilivyo miji ya huku.

Tukaingia sehemu Fulani tukamkuta dragon ambae alianza kuongea na Lucifer, nikafunga macho na nikajisikia kujawa na nguvu sana, akaniambia amenipa nguvu na mamlaka ya kumiliki na kutawala fahamu za watu.

Siku moja niliamka asubuhi nikiwa na njaa sana kwa sababu usiku wake sikula chakula, Lucifer akaniambia kuna meli inaitwa Mv spice nikaenda na baadhi ya watu tukatega nyaya za copa wire ile meli ikawa inakuja tukatega pale maji yanapogawanyikia ili watu waseme ni mkondo wa maji, kuna maneno nikayasema halafu nikasimama pembeni, ile meli ikaanza kuzama mpaka kwenye kina cha chini kabisa cha bahari ambacho nilitaka mimi, kisha wale watu wakaunganisha mabomba mpaka kule nilipokuwa na tukapata damu nyingi sana. Mimi nilikuwa na uwezo wa kunywa damu kiasi cha tani 5000.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mchungaji Josephat Gwajima akimuombea Theresia.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Pia kazi yetu nyingine ilikuwa kuwafanya watu wanaompenda Mungu waache kabisa na kuanza kuwaza vitu vilivyo tofauti kabisa na mapenzi ya Mungu.

Nakumbuka ilikuwa muda wa kulala kama kawaida nikasikia watu wanaita njooo njoooo, mara nikasikia nguvu zinaniishia na nikawa sijielewi kabisa mara nikashanga nimetokea katika viwanja vya tangamano.

Mama yake Theresia anasema kabla ya mtoto wake kurudi alikuwa na matatizo ya kuumwa magojwa yasiyoisha ya kila wakati. Pia alikuwa na tabia ya uvivu na kulala sana , pia hakupenda kusali kabisa, pia kipindi cha mitihani aliugua sana.USHAURI ANAOTOA THERESIA KWA WATU WENGINE

Watu inabidi wamtafute Yesu kwa kiwango cha juu sana, kwa sababu yeye ndiye atakayeweza kuwapa kila kitu wanachokihitaji, pia anasema vijana wengi wapo kwenye hatari ya kuangamia hivyo kama hawatamtafuta Mungu hakika wataangamia .

Pia anamshukuru Mungu kwa kumrudisha kutoka katika vifungo vya ajabu, anachoweza kufanya ni kumtumikia Mungu na kumpenda daima. AMEN

Huo ndio ushuhuda kamili kama ulivyowakilishwa na kitengo cha huduma ya mawasiliano kanisa la Ufufuo na Uzima . Ushuhuda huu umeshuhudiwa na binti huyo wakati wa mkutano wa kiroho ulioandaliwa na kanisa hilo, na kufanyika jijini Tanga wiki iliyopita.SOURCE;; GOSPEL KITAA.

jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,242
Likes
15,636
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,242 15,636 280
Abiria chunga mifuko yako.
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,622
Likes
2,689
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,622 2,689 280
Mmmmmmmh,JF BHANA KAMA JUNGU KUU KUU
 
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,732
Likes
1,838
Points
280
Age
27
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,732 1,838 280
[h=3]USHUHUDA KAMILI WA BINTI ALIYEDAI KUHUSIKA KUZAMISHA MV SPICE HIGHLANDER[/h]

Askari Kanzu

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
4,573
Likes
125
Points
160
Age
62
Askari Kanzu

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
4,573 125 160
Huu sasa ni uchizi uliopitiliza.
 
K

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
393
Likes
19
Points
35
K

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
393 19 35

Alichokifanya huyu binti sio uhalifu kweli? isitoshe amekiri yeye mwenyewe
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 87 135
hii nayo kali, sasa polisi si mumuchukuwe huyo binti fasta? mnangoja nini tena? ila hizi dini hizi, mwisho wake tutauona.
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,014
Likes
5,697
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,014 5,697 280
sio kila asemaye bwana bwana ni wangu. wengine wataponya kwa jina langu ,vipofu wataona viwete watatembea
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,063
Likes
631
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,063 631 280
acheni kudanganyika kirahisi enyi wanadam''!!,huo n mpango uliosukwa tangu miez 3 iliyopita katika moja ya hoteli pale tanga.huyo anae jiita mchunganji alitumia wasaidiz wake kumtafuta huyo binti kwa maana alikuwa na matatizo ya kuugua.na njama hiyo imefanywa ili kuaminisha umati kwamba kwel kamvuta kutoka baharini.Muumini chunga mfuko wako.

hayo maneno yote anayoongea ameambiwa na kukaririshwa aseme hivo.na anayefanya hiyo kaz anaitwa joseph n mmoja wa wasaidiz wa huyo tapeli!!,nawahurumia sana mnaopeleka pesa eti sadaka kwa huyo tapeli,hakuna cha yesu wala nn.narudia kusema siku mkiujua ukwel mtaaniamini
 
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Messages
2,716
Likes
498
Points
180
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2008
2,716 498 180
Ikiwa Ni Miaka Miwili Tangu Tupoteze Ndg, Jamaa & Marafiki Ktk Ajali Ya Kuzama Kwa Meli Ya Mv Spiee Islander Ameibuka Bint Mmoja Anayeitwa Theresia Na Kudai Ndiye Aliyeizamisha Meli Ya Islander Kichawi Ucku Wa Tarehe 9/9/2011 Katika Mkondo Wa Nungwi Ikiwa Ni Kutii Agizo La 'wakubwa' Katika Zoezi La Kukusanya Damu Kwa Matumizi Ya Kichawi... Theresia Ameeleza Hayo Wakati Akitoa Ushuda Mbele Ya Mch Gwajima Katika Viwanja Vya Tangamano Jijini Tanga... Theresia Ameendelea Kumwaga Siri Kwa Kusema Alichukuliwa Kichawi Na Kupelekwa Katikati Ya Bahari Ya Pacific Na Kuishi Miaka Saba Akifundishwa Uchawi Huku Mama Yake Acjue Lolote Kwa Kuachiwa Toy Alilojua Mwanaye Kwa Kipindi Chote Hicho... Theresia Huku Akiongea Na Maneno Kadha Ya Kingereza (english) Safi Aliendelea Kudai Cku Ya Tukio Alitumwa Na 'Wakubwa' Akiongoza Kikosi Cha Watu 4 Yeye Wa5 Walifanikiwa Kuivutia Chini Ya Maji Meli Hali Iliyosababisha Vifo Vingi Na Kurahisisha Zoezi La Kukusanya Damu Hiyo.... Source Mwenyewe Nikiwa Tangamano & Amani Tanzania...!
Wakati nafungua hii sred nilijua tu kuwa haya maelezo yatakuwa yametolewa kanisani na si pengine.
 
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,732
Likes
1,838
Points
280
Age
27
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,732 1,838 280
acheni kudanganyika kirahisi enyi wanadam''!!,huo n mpango uliosukwa tangu miez 3 iliyopita katika moja ya hoteli pale tanga.huyo anae jiita mchunganji alitumia wasaidiz wake kumtafuta huyo binti kwa maana alikuwa na matatizo ya kuugua.na njama hiyo imefanywa ili kuaminisha umati kwamba kwel kamvuta kutoka baharini.Muumini chunga mfuko wako.

hayo maneno yote anayoongea ameambiwa na kukaririshwa aseme hivo.na anayefanya hiyo kaz anaitwa joseph n mmoja wa wasaidiz wa huyo tapeli!!,nawahurumia sana mnaopeleka pesa eti sadaka kwa huyo tapeli,hakuna cha yesu wala nn.narudia kusema siku mkiujua ukwel mtaaniamini
hata ivyo hatukutegemea tofauti na hili kwa watu kama nyie!!!!

mmmHh!! lingine.....
 
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,732
Likes
1,838
Points
280
Age
27
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,732 1,838 280
Wakati nafungua hii sred nilijua tu kuwa haya maelezo yatakuwa yametolewa kanisani na si pengine.
kanisani ndo watu wanapoitafuta KWELI ili iwaweke HURU.

na ndipo inapopatikana.
 
Mapolomoko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
1,754
Likes
13
Points
0
Mapolomoko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
1,754 13 0
kanisani ndo watu wanapoitafuta KWELI ili iwaweke HURU.

na ndipo inapopatikana.
Wapumbavu ndo wataamini. bora kuwa mjinga kuliko --------, wachungaji, waumini wapumbavu. makanisa yamegeuka kumbi za Disco
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,252,180
Members 482,015
Posts 29,799,241