Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Wanajf za jumapili?aisee ninaumwa na fizi sana kumbe jino linaota, sasa nashangaa kwani mwisho wa kuota meno ni miaka mingapi?mbona nina umri mkubwa tu?
Ukiona hivyo basi ujue bado hujakuwa vya kutosha, umeongezeka miaka tu..
mh sasa miaka si ndo kipimo cha kukua au?yani jino linauma mpaka sina raha hapa
Pole kwa kuumwa mpendwa, suala la kukua linatofautiana sana baina ya mtu na mtu. Kuongezeka miaka ni sehemu tu ya kukua, ila kuna mambo mengine mengi sana yanayotakiwa ili kukamilisha dhana nzima ya ukuaji. ndiyo maana hata watoto hutofautiana kuanza kuongea ama kutembea.. Kwani umekula chumvi kiasi gani mpaka uishangae hiyo hali?
ukiona hivo ujue kuna mwanaume anakupenda hapo mtaani kwenu sema anashindwa kukuambia hivo jichekeshe chekeshe j2 ya leo kwa kila mwanaume utakae onana nae huenda akafunguka..
Pole sana,nenda hosp!
Hii ungeipeleka JF Doctor wangekusaidia.
Lakini niliambiwa, ukiota yale meno yanayotimiza idadi ya meno 32, ujue ndio ushazeeka, hapo sasa unasubiri yaanze kung'oka. Karibu Club ya Wazee mwanakwetu. Mimi, Mzee mwenzangu Bishanga na wengineo, tunakukaribisha kwa mikono miwili...............LOL
yani nimenuna tu hata kucheka siezi jinsi navyoumwa ndo nimetoka kumeza panadol hapa
nenda kwa exllent akakutekenye kidogo..lol
Wanajf za jumapili?aisee ninaumwa na fizi sana kumbe jino linaota, sasa nashangaa kwani mwisho wa kuota meno ni miaka mingapi?mbona nina umri mkubwa tu?
pole bidada, najua kero ya jino!
ahsante yani hapa cna raha
ahsante yani hapa cna raha
pole sana ila ka unaweza tafuna mahindi ya kuchoma asubuhi mchana jioni ka dozi.
Pole sana ndugu, najua karaha za jino hadi fizi huwa zinachemka aisee! Ni bora ukajimezea zako tu piriton, then ukapiga mbonji. Ukiona panadol inakuzingua kwa maumivu, we kunywa diclopar!