Kumbe bado kuna Open Bar zinakesha mpaka Asubuhi

mtamuuua masawe kwa mawazo jamani ni juzi tu kamaliza kukarabati ile bar,pembeni yake brazil pub vipi bado pamelala pale pamekaa poa anaweza piga hata sound proof akitaka
Sasa hv kabanwa jamaa kafungua China bar wateja na wahudumu wake wengi wamehama.
 
Habari za jioni wadau!

Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta.

Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite nikaona Bar fulani inaitwa KB Mziki kama wote na Cha Kushangaza na Polisi wapo ikabidi tuendeleze ligi mpaka asubuhi Saa 11 na watu ni Shazi muda wote.

Mbona Sinza hizo habari za kukesha hamnaga ila nje ya mji bado zipo
Kitambaa cheupe!! Coner bar hujapata? Hapo ndio Wana Cheza uchi kabisaa
 
Habari za jioni wadau!

Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta.

Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite nikaona Bar fulani inaitwa KB Mziki kama wote na Cha Kushangaza na Polisi wapo ikabidi tuendeleze ligi mpaka asubuhi Saa 11 na watu ni Shazi muda wote.

Mbona Sinza hizo habari za kukesha hamnaga ila nje ya mji bado zipo
sinza hawana pesa,wote wapangaji,wenye nyumba wameahamia tabata,tegeta,mapinga na kadhalika,,,ukiona m2 anaishi sinza ujue ni mpangaji!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom