Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
- Thread starter
- #21
Historia za viongozi wa nchi za maziwa makuu zinautata isipokuwa TZ na Kenya tuMuseveni mwenyewe alizaliwa Gisenyi, Rwanda
Historia za viongozi wa nchi za maziwa makuu zinautata isipokuwa TZ na Kenya tuMuseveni mwenyewe alizaliwa Gisenyi, Rwanda
Jina lake lina maana ya nyandwi kwa Rwanda wa saba kuzaliwa
Unawafahamu wa ankole?Huku wakifika wanajiita wahaya hawawezi kujitambulisha
Siyo Sangu high school au???Ila Joseph Kabila ni Mburushi na amesoma Irambo, MBEYA
Hata jina lako:Shimwa=ShukuruJina lake lina maana ya nyandwi kwa Rwanda wa saba kuzaliwa
Haya bana nakubaliHata jina lako:Shimwa=Shukuru
Nikajua mabinti wa UvccmAhahah hao ni wajukuu
Mimi ni mzungu na nimesoma Tabora boysIla Joseph Kabila ni Mburushi na amesoma Irambo, MBEYA
Mimi ni mzungu na nimesoma Tabora boys
Hata historia ya mahusiano ya JK ina utata saba kama hapo kwenye avatar yako anaonekana yupo na totoz za dot com
Ukanda huu tupo wengiHaya bana nakubali
U mvuye kigoma?Ukanda huu tupo wengi
Nge mvuye mu RwandaU mvuye kigoma?
Nge mvuye mu Rwanda
Urakoze cyane