Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Utafikiri ni dada ake mr.blood diamond
Ana meno mazuri,yanaweza ya asili au bandia?
Mnyarwanda kabisa huyu
Ka Mr blood kamesambaza sana watu wake nasikia hata huku kwetu wamefikaWatusi hawajifichi
Ka Mr blood kamesambaza sana watu wake nasikia hata huku kwetu wamefika
Mr Slim aliwahi kuwa mwanajeshi wa Jeshi La Museveni
Watusi wapo ivyo
Joseph Kabila baba yake mzazi ni mrwandaHistory za Uganda mpaka Congo zinautata sana
Joseph Kabila baba yake mzazi ni mrwanda
Ndio ndio mkuuNa aliwahi kuwa mwanajeshi wa Rwanda
Hata historia ya mahusiano ya JK ina utata saba kama hapo kwenye avatar yako anaonekana yupo na totoz za dot comHistory za Uganda mpaka Congo zinautata sana
Ila Joseph Kabila ni Mburushi na amesoma Irambo, MBEYAJoseph Kabila baba yake mzazi ni mrwanda
Hata historia ya mahusiano ya JK ina utata saba kama hapo kwenye avatar yako anaonekana yupo na totoz za dot com