Kumbe ATM huwa zinakosea?

charleslee

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
408
200
Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.

Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.

Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
 
Mkuu kutokana na avatar yako naamini unaweza kunisaidia hili swali;
Hivi katika ya lile fungu jipya kabisa la pesa ambalo bado halijafunguliwa, huwa lina jumla ya noti ngapi?
 
Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.

Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Watafiti buana eti Kati ya watanzania wanne mmoja ni muhusika wa milembe, kumbe hawakukosea
 
Mkuu kutokana na avatar yako naamini unaweza kunisaidia hili swali;<br /> Hivi katika ya lile fungu jipya la pesa, huwa lina jumla ya note ngapi?

Cjakusoma....katika ya lile???
 
Kama umeshawahi kuona fungu jipya la pesa ambalo bado hata halijapunguzwa noti moja. Huwa lina idadi gani ya noti?
 
Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.

Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Bank gani hiyo inatoa milioni 1 kwa mkupuo
 
utotoni tulihadithiwa padri aliyedondosha begi la pesa akiwa kwenye Baja 750, ajuza akaokota na kupiga kelele kumuita. padre kasimama na ajuza akamwambia umedondosha mzigo wake-akampatia. alichokifanya alimwambia piga magoti nikuombee. baada ya sala akamwambia hautakuja ukutane na bahati nyingine maisha yako yote. akamfungulia kutazama begi, bibi kaona limejaa noti tupu! ## tulisimuliwa na mababu kutuasa kuropoka ropoka kuwa kuna madhara. wenye bahati zao huwa hawatangazi hadharani. umesharahisisha upelelezi. kumbuka cctv zilikuwa on!
 
Warning nzuri boss lkn hawanidaki
 
Bank gani hiyo inatoa milioni 1 kwa mkupuo
f6815f95387df4ff56cc588fe0062843.jpg
 
Back
Top Bottom