Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

Nooo nagoma hakuna ukweli

Hii ni orodha fupi ya baadhi ya watu wa nyota ya mapacha katika nyanja mbalimbali.

1. Tupac Shakur & Notorius B.I.G a.k.a Biggie Smalls..........Wafalme wa Hiphop duniani.

2. Reginald Mengi................Media Tanzania.

3. George Bush wa Pili............Aliyekuwa Rais wa Marekani kabla ya Obama.

4. Naomi Campbell ..................Mitindo.

5. Mike Tyson ......................Boxing.

The list is so long
 
Acha uchawi wako! mpunga nyota
wewe! askofu hakuongoza kanisa kinajimu bali kwa nguvu za Roho mtakatifu. koma tabia hii. katika Jina lipitalo majina yote la Yesu kristo wa Nazereti.


Kaka nahisi uelewa wako ni mdogo sana, wapi katika uzi wangu nimesema skofu aliongoza kinajimu? Nimesema watu waliozaliwa tarehe kama ya kwake huwa wamebarrikiwa sana katika jambo lolote wanalo lifanya. Mambo ya unajimu yametoka wapi tena hapo?
 
Kwa nijuavyo usomaji wa nyota hauna nafasi katika imani ya kikristo! hatuambiwi wale mamajusi walikuwa wataalamu wa kusoma nyota za 'mapacha, au gemini'. wataalamu wa nyota haina maana ya ubashiri wa jinsi hii. Hii ni kazi ya Lucifa na jeshi lake

mix with yours

So do u think u are smarter than him?
 
Umenielewa vibaya kaka, nimemaanisha kuwa watu wa Gemini huwa strong sana katika kazi au mambo wanayo yafanya, mambo hayo yanaweza kuwa ni michezo, uigizaji, muziki, biashara, huduma ya kiroho nakadhalika. Hii ni mifano michache:

i. Tupac Shakur & Notorious B.I.G a.k.a BIggie Smalls : WAFALME WA HIPHOP DUNIANI.

ii. Reginald Mengi
iii. George Bush wa pili... List ni ndefu sana.
Ndio maana chochote kile akifanyacho mtu wa nyota ya mapacha huwa kinafanikiwa sana iwe ni kizuri ama kibaya.
Niwie radhi kwa kukuelewa vibaya. Labda ndio mwisho wa uelewa wangu.
 
sidhani kama alikuwa akifuata mambo kama haya unayosimulia hapo, vinginevyo asingefika mbali hivyo
 
Narudia tena acha uchawi! hata kama hujaanza kuloga ila una elements za kichawi ndani yako na ndo maana imekuwa rahisi kwako kuyahusisha mafanikio ya late Arch Bishop na mambo ya nyota badala ya kuyahusisha na uweza wa kiMungu. kama nilivyosema mamajusi hawakua watumishi wa Mungu! nikama yule binti mwenye pepo aliyekua akinena mema juu ya Petro na Yohana ili kuonesha ulimwengu kwamba yupo atawalae vyote amezaliwa. Wapi pengine ulimsikia Yesu akisema kuhusu mamajusi na mambo ya nyota? unahitaji ukombozi la sivyo utaiharibu imani yako nzuri kwa Yesu.
 
Narudia tena acha uchawi! hata kama hujaanza kuloga ila una elements za kichawi ndani yako na ndo maana imekuwa rahisi kwako kuyahusisha mafanikio ya late Arch Bishop na mambo ya nyota badala ya kuyahusisha na uweza wa kiMungu. kama nilivyosema mamajusi hawakua watumishi wa Mungu! nikama yule binti mwenye pepo aliyekua akinena mema juu ya Petro na Yohana ili kuonesha ulimwengu kwamba yupo atawalae vyote amezaliwa. Wapi pengine ulimsikia Yesu akisema kuhusu mamajusi na mambo ya nyota? unahitaji ukombozi la sivyo utaiharibu imani yako nzuri kwa Yesu.

Am not a Christian.
 
Sasa nimekuelewa! kumbe we sio mkristo? ok ndo maana umeweka uzi huu! sisemi kwa ubaya ila hakuna mkristo angefanya hivi! watu wawezao haya ni wanajimu na watu wasio amini kuhusu Ukristo. sasa hata nikikuelewesha vipi huto elewa kwakua unatumia ufahamu kuuelewa ukristo. ila kwa hakika pale akili za mwanadamu zinapoishia ndipo na ukristo unapoanzia. Kwa neema ya Mungu utaelewa siri hii siku moja.
 
Me I Think This Guy,hana Iman Thabiti,maana Ukiongelea Nyota Ya MAPACHA au GEMIN kwenye ukristo haipo ama uislam,labda niulze nktabu kip cha dini(bible Or Quran)kmetaja M2 Alyezaliwa Mwez Flan Atakwa M2 Wa Aina Gan?je Wataka Kuniambia Kanumba,mwakasege Nawengneo Wamezaliwa Miez Hyo?
acha Kuchanganya Iman Ya Kshetan Na Yakimungu Maana Umungu Na Ushetan Nkama Maji Na Moto.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom