Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

Hii ni orodha fupi ya baadhi ya watu wa nyota ya mapacha katika nyanja mbalimbali.

1. Tupac Shakur & Notorius B.I.G a.k.a Biggie Smalls..........Wafalme wa Hiphop duniani.

2. Reginald Mengi................Media Tanzania.

3. George Bush wa Pili............Aliyekuwa Rais wa Marekani kabla ya Obama.

4. Naomi Campbell ..................Mitindo.

5. Mike Tyson ......................Boxing.

The list is so long

Dah!! Kweli we akili zako zinatosha kuvukia barabara tu, kuvaa suruali na shati bila kugeuza yani watu 5 tu ndo unafanya General conclusion? Ina maana katika kila Nyota hatuwezi kupata watu strong zaidi ya 5?
 
Dah!! Kweli we akili zako zinatosha kuvukia barabara tu, kuvaa suruali na shati bila kugeuza yani watu 5 tu ndo unafanya General conclusion? Ina maana katika kila Nyota hatuwezi kupata watu strong zaidi ya 5?​

Dah!! Kweli we akili zako zinatosha kuvukia barabara tu, kuvaa suruali na shati bila kugeuza yani watu 5 tu ndo unafanya General conclusion? Ina maana katika kila Nyota hatuwezi kupata watu strong zaidi ya 5?
Hii ni orodha fupi ya baadhi ya watu wa nyota ya mapacha katika nyanja mbalimbali.

1. Tupac Shakur & Notorius B.I.G a.k.a Biggie Smalls..........Wafalme wa Hiphop duniani.

2. Reginald Mengi................Media Tanzania.

3. George Bush wa Pili............Aliyekuwa Rais wa Marekani kabla ya Obama.

4. Naomi Campbell ..................Mitindo.

5. Mike Tyson ......................Boxing.

The list is so long

We kilaza, hizi sentensi haukuziona,? au unataka na wewe uonekane umechangia kwenye uzi wangu?
 
Huyu jamaa(Majidai) aseme tu alikua anajifanyia promo humu jukwaani hana lolote lingine.humu wateja hupati. Mambo ya nyota humu hayana nafasi hili sio jukwaa lake humu ni kwa ma great thinkers! sio wanajim.
 
Hii ni orodha fupi ya baadhi ya watu wa nyota ya mapacha katika nyanja mbalimbali.

1. Tupac Shakur & Notorius B.I.G a.k.a Biggie Smalls..........Wafalme wa Hiphop duniani.

2. Reginald Mengi................Media Tanzania.

3. George Bush wa Pili............Aliyekuwa Rais wa Marekani kabla ya Obama.

4. Naomi Campbell ..................Mitindo.

5. Mike Tyson ......................Boxing.

The list is so long

We kilaza, hizi sentensi haukuziona,? au unataka na wewe uonekane umechangia kwenye uzi wangu?

Mara ya mwisho umepima malaria lini? Nina mashakaa yatakua yamekupanda kichwani, The list is long iterms of quantity hata watu 10 ni long list, bado huna hoja ya msingi wa sample yako haifai kutoa conclusion orodha yako haina tofauti na takwimu za kipima joto.

NB: Usikurupuke kutoa hoja nzito bila kufanya scientific analysis
 
Me I Think This Guy,hana Iman Thabiti,maana Ukiongelea Nyota Ya MAPACHA au GEMIN kwenye ukristo haipo ama uislam,labda niulze nktabu kip cha dini(bible Or Quran)kmetaja M2 Alyezaliwa Mwez Flan Atakwa M2 Wa Aina Gan?je Wataka Kuniambia Kanumba,mwakasege Nawengneo Wamezaliwa Miez Hyo?
acha Kuchanganya Iman Ya Kshetan Na Yakimungu Maana Umungu Na Ushetan Nkama Maji Na Moto.....

Pole yako, unadhani dini ni ukristo na uislamu tu..pole sana
 
Mara ya mwisho umepima malaria lini? Nina mashakaa yatakua yamekupanda kichwani, The list is long iterms of quantity hata watu 10 ni long list, bado huna hoja ya msingi wa sample yako haifai kutoa conclusion orodha yako haina tofauti na takwimu za kipima joto.

NB: Usikurupuke kutoa hoja nzito bila kufanya scientific analysis
This is fallacy
 
Title inachanganya! Kwani usingeweka "alikuwa na nyota ya mapacha?" mie nlifikiri mambo ya Twins sasa nkawa najiulize yeye alikuwa TOI au BUKURU?
 
Stupid heading + Foolish horoscopic/Astrological analysis ya mleta mada.Rest in peace kulola!
 
This is fallacy

Jaribu kutumia akili ndogo tu ya shule ya msingi hv watu wote humu wanapingana na wewe hawana akili hata kidogo? Hoja yako ni dhaifu sana hata Mwenyekiti wa kitongoji hawezi kutoa hoja kama yako
 
Mfyuuuuuuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10

" Whatever your hand finds to do, do it with all your might, for in the realm of the dead, where you are going, there is neither working nor planning nor knowledge nor wisdom. ".

Ndio maana chochote kile akifanyacho mtu wa nyota ya mapacha huwa kinafanikiwa sana iwe ni kizuri ama kibaya. Utafiti unaonyesha kuwa , karibu katika kila eneo la maisha ya mwanadamu kuanzia kwenye michezo, uongozi,sanaa, biashara, elimu nakadhalika , kuna mtu wa nyota ya mapacha ambaye anachukuliwa kuwa wa kipekee sana katika eneo hilo husika...

N.B: Ninaomba radhi kwa nitakao kuwa nime wakwaza kwa kulihusisha jina la Marehemu Askofu Kulola na mambo ya nyota, ila kwa wasio fahamu, elimu ya nyota ipo toka enzi za Pontyo wa Pilato, hata wale Mamajusi walitumia nyota kugundua kuwa Mfalme Yesu amezaliwa.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ASKOFU KULOLA MAHALI PEMA PEPONI, NA AWAFARIJI WAFIWA. AMINA

Kumbe ulijua unaandika upuuz ndo mana ukatanguliza msamaha?Sasa kama ni kwel vipi kwa wenye nyota hiyo na hawana lolote kati ya ulotaja?Hayo mambo yanawafaa washirikina kama wewe na halina lolote kwa wanao mwamin Mungu.Mtu anaweza kuwa maarufu kwa mpango wa Mungu na jitihada ktk lile analofanya na siyo nyota.
 
aisee nilihisi sheikh yahya amekufa na mambo yake kumbe bado mpo mkuu nipe jina lako halisi nimwombe GWAJIMA AKUFANYIE KAZI INFACT KA,MA NYIE AKUNA THAMANI YA KUISHI DUNIANI NA MAMBO KAMA HAYO KAMA UAMINI ULIZA NDUG ZA SHEIKH YAHYA WALIAMBIWA LINI ANANGOKA
 
Wewe mganga/mnajimu MAJIDAI omba mods wafute huu uzi wako wakichawi.

Ambapo wengine tukiwa na majonzi wewe unamuhusisha marehemu askofu wetu
 
Last edited by a moderator:
Acha uchawi wako! mpunga nyota wewe! askofu hakuongoza kanisa kinajimu bali kwa nguvu za Roho mtakatifu. koma tabia hii. katika Jina lipitalo majina yote la Yesu kristo wa Nazereti.

Amen. Ashindwe na alegee kabisa!
 
Stupid heading + Foolish horoscopic/Astrological analysis ya mleta mada.Rest in peace kulola!

Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10

" Whatever your hand finds to do, do it with all your might, for in the realm of the dead, where you are going, there is neither working nor planning nor knowledge nor wisdom. ".

Ndio maana chochote kile akifanyacho mtu wa nyota ya mapacha huwa kinafanikiwa sana iwe ni kizuri ama kibaya. Utafiti unaonyesha kuwa , karibu katika kila eneo la maisha ya mwanadamu kuanzia kwenye michezo, uongozi,sanaa, biashara, elimu nakadhalika , kuna mtu wa nyota ya mapacha ambaye anachukuliwa kuwa wa kipekee sana katika eneo hilo husika...

N.B: Ninaomba radhi kwa nitakao kuwa nime wakwaza kwa kulihusisha jina la Marehemu Askofu Kulola na mambo ya nyota, ila kwa wasio fahamu, elimu ya nyota ipo toka enzi za Pontyo wa Pilato, hata wale Mamajusi walitumia nyota kugundua kuwa Mfalme Yesu amezaliwa.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ASKOFU KULOLA MAHALI PEMA PEPONI, NA AWAFARIJI WAFIWA. AMINA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom