Kumbe anafanya kazi ya kuuza baa.

Kumbe anafanya kazi ya kuuza baa.

sasa wewe jamaa na hiyo masters unashindwa kujua nini cha kufanya? hata thesis utaweza iandika kweli wewe daaaah..unasikitisha jombaaa...ova
 
Ni mtu ambaye nilikua namuaandaa kua wife nilimpeleka mpaka nyumbani nae kanipeleka kwao so sio jambo la mzaha mkuu

wht u're age?. hivi mkuu, mbona unakichwa kigumu kama kamongoo mzee?. tunakushauri vzr lakini bado unakaza tu tatizo nn kwa uyo bar maid wako????. kama unataka kufa mapema sema wana jf tukuchangiee ela ya mazishi mapema, maana inaonesha mda simlefu utatutoka?. kweli unasoma master wewe????. au kama unamambo mengi yanakuchanganya sema watu wakushauri acha kuwa na kichwa ngumu??
 
Tusidanganyane, hiyo ni kazi ambayo mtu anaifanya baada ya mambo mengine ya msingi yameshindikana! Hebu tuambie, kama wewe ni mwana-mme, utajivunia kuoa Bar-maid?

Sasa kama maisha mengine yameshindikana si bora awe bar maid kuliko akawe changudoa? Mie mwanamke, lakini unadhani nitamkataa mwanaume ambae ana biashara ya bar ama anaendesha jiko la nyama choma? Kwa sababu kwa level yangu naweza binafsi nisiwe nauza bar lakini naendesha bar. Kuna tofauti? Mwanamke ama mwanaume ukijiweka vulnerable utatumiwa na yeyote. Kwani hamna bar maid ambae hatongozeki? Asprin njoo unijibu hii, plz. Nijifunze.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama maisha mengine yameshindikana si bora awe bar maid kuliko akawe changudoa? Mie mwanamke, lakini unadhani nitamkataa mwanaume ambae ana biashara ya bar ama anaendesha jiko la nyama choma? Kwa sababu kwa level yangu naweza binafsi nisiwe nauza bar lakini naendesha bar. Kuna tofauti? Mwanamke ama mwanaume ukijiweka vulnerable utatumiwa na yeyote. Kwani hamna bar maid ambae hatongozeki? Asprin njoo unijibu hii, plz. Nijifunze.

ninaamini unajua ya kuwa Bar Maid haishii kuuza bia tu, ki-msingi barmaid baada ya kuuza bia ni kawaida kwake kujiuza pia kwa mnywaji anayemhitaji! Unataka kuniambia unaweza kuendesha maisha ya mjini kwa kazi ya barmaid peke yake? Pia ipo tofauti kubwa mno kati ya BarMaid na Mwenye bar! Najua unalijua hilio japo hautaki kuuacha moyo wako ukusemee....!
 
Last edited by a moderator:
kazi ni kazi ila heshima nu muhimu na wewe uzamili wako haukusaidiii lolote hilo si jambo la kuomba ushauri hata kidogo ni bull shit
 
Kazi ni kazi.....
Badala ya kumwambia aache kazi ya Bar msaidie kutafuta kazi mbadala na mpe muda kwamba ikishindikana basi itabidi mrudi kijijini (maisha ni popote)

Maisha ni compromise mwambie kama anakupenda lazima kuna give and take sio yeye tu kila anachotaka kiwe lazima akipate

Kuhusu kupima mwambie aache utoto kama mtakuwa wanafamilia inabidi mjue afya zenu kwa manufaa ya watoto mtakaopata
 
bomu hilo.ila kazi ni kazi wapo wauza bar wanajiheshimu sana tu.kuna muuza bar mmoja mango garden ni mdada anajiheshimu na yupo pale miaka mingi tu

yule wa mango wifi yako..anaitwa sabina
 
Umesoma sasa hivi unajiona expensive umesahau kule kijijini alivyokuwa anakupa uroda wake tena bure bila kujali una elimu gani.Mpz wako ana wenge la maisha msaidie kulituliza kwa kutumia lugha nzuri sio amri bwana.
 
Back
Top Bottom