Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Uuuuwiiii wanyooshweeee
Wapigweee wapigweee

Watu wamelia sanaaa watu wameteswa Sana
Watu wamepigwa misumari kichwan miguuni
Watu wamekatwa masikio
Watu wametupwa baharin
Uuuuwiiii uuuuwiiii

Mateso mateso mateso mateso

Mungu Mungu Mungu tushukuru kwa kusikia kilio chetu
Asante baba
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Wakumshati Jiwe angetokea wap?
 
Uuuuwiiii wanyooshweeee
Wapigweee wapigweee

Watu wamelia sanaaa watu wameteswa Sana
Watu wamepigwa misumari kichwan miguuni
Watu wamekatwa masikio
Watu wametupwa baharin
Uuuuwiiii uuuuwiiii

Mateso mateso mateso mateso

Mungu Mungu Mungu tushukuru kwa kusikia kilio chetu
Asante baba
....Mungu yuko kazini.... ni maneno ya Sabaya akipanda karandinga kwenda celo
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Huu ni ushuzi umeandika.......
 
He was an engineer of almost all evils
Nina hakika hata Kama asinge fariki, na miaka ikapita bado siku moja angetokea mtawala anaye chukia maovu , Ange mburuta korokroni tu. Huyu mzee akishirikiana na genge lake la uhalifu wali watendea watu wengi ukatili usio vumilika kabisa.
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.

Unaota. Sasa makamu Wake si yupo. Mpeleke.
 
Back
Top Bottom