Albert Einstein alizaliwa mwaka 1979 huko Ujermani
Nisharekebisha mkuu,asanteMkuu kwenye mwaka hebu rekebisha,mtu azaliwe mwaka 1979 na afariki 1955 kweli?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Dean hataki mchezo mchezo [emoji3]Eti "We find your assumptions more artistic than actual physics"! Yaani kwa lugha ya Kiswahili cha leo - "Huu wako ni usanii tu siyo fizikia". Hahahaaaaaaaaaa....
Kumbe! Alizaliwa juzijuzi tu! Sikujua...
bado.soma vizuri mistari mitatu ya mwishoTayari mkuu
Kumbe akili za Wilheim na jopo lake ndizo zilikuwa ndogo!Wakuu,
Yule Manju kama sio mbobezi wa masuala ya Fizikia na hesabu bwana Albert Einstein alipoandika papers zake ili atunukiwe shahada ya Udaktari(PhD) katika chuo kikuu cha Bern, alikataliwa na kuambiwa kwamba alichokiandika ni 'usanii tu' wala hakina uhalisia wa Fizikia wala mashiko hivyo hawezi kutunukiwa shahada hio ya juu kabisa.
Lakini tukumbuke huyo ndiye alichangia theory nyingi katika Fizikia ikiwemo ile formula maarufu ya E=mc².
Albert Einstein alizaliwa mwaka 1879 huko Ujermani na kufariki mwaka 1955 huko Marekani akiwa na miaka 76.
Hii,inatufundisha kwamba hata uwe haukubaliki vipi, hutakiwi kukata tamaa,songa mbele baadae wataona thamani yako.
Jionee kiambatanisho.
Asante.
View attachment 1503017
NI wivu tuWakuu,