Kumbadilisha rafiki kuwa mpenzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbadilisha rafiki kuwa mpenzi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Aaron, Sep 14, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  wana jf,
  habari zenu.. Ni matumaini yangu kuwa ni wazima na mnajiandaa vyema na weekend.
  Kama uzi unavyosomeka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafunzi wa chuo hapa jijini dar.. Katika maisha yangu ya sekondari nilijariwa kuwa na marafiki wengi wa kike japo shule yetu ilikuwa single yani boys tu.. Kati ya marafiki zangu wengine walikuwa watu wangu wa karibu sana hadi kufikia hatua ya mabwana zao kubreak nao nikidhaniwa kuwa mimi nawachukua,, cha kushangaza wale niliokuwa nawataka kimapenzi hawakunikubali lakini hawakuwa tayar tuachane kiurafiki na nimedumu nao mpaka sasa ninamawasiliano nao..
  Sasa niko chuo nimempenda dada mmoja ambaye ni rafiki angu sana.. Yani ni zaidi ya marafiki na nimemsadia sana kimasomo.. Ilifikia hatua analia sana kwamba masomo ni magumu (engineering) rakini nimemshauri vzuri na anaendelea na masomo huku mimi nikizidi kumsaidia.. Ni rafiki angu sana..ila nimempenda kimapenzi japo nimekaa nae sana na mpenzi wake wa kiume namfahamu... Je, nifanye nini?? Nikiachana nae kuna hatar ya kudisco na mimi staki afail,, 2kiendelea na urafiki nazidi kumtamani kwani mda wote niko naye.... Msaada wenu wakuu.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,282
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Wataalamu wanafika sasa hivi we subiria hapa hapa...

  Ngoja niende kwenye siasa.
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,003
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye bold, uachane nae kwani kakufanya nini??
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,496
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  piga shule bana!mara nyingi ni ngumu sana kupoteza rafiki kwa sababu umetofautiana mawazo,lakini ni rahisi sana kupoteza mpezi kama hamko kwenye mstari mmoja kimtazamo!kuna marafiki wengine their too sweet to loose!amini usiamini utakapobonyeza nae hakuwa kweny hilo wazo mtakosana for gud!manake hukujali na kuheshimu mahusiano aliyopo!SO WATCH OUT!ukitaka kudsco utadisco tu tena utasambulumaaa kabisa!piga shule
   
 5. A

  Aaron JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  nikizidi kuwa nae nazdi kumtamani..
   
 6. A

  Aaron JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  aksante mkuu,,
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,496
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  karibu!
   
 8. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,003
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  basi friend with benefits inakufaa
  "kweli mapenzi yana nguvu kuliko break-down" - mpoki
   
 9. A

  Aaron JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  hahaha...
   
 10. b

  bagi JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  piga kisela huku discusion zinaendelea kama kawa
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,097
  Likes Received: 6,747
  Trophy Points: 280
  Acha utotoo wewe, unanyimwa mambo sababu badala ya kuomba kuonja unaomba kuvunja shaaani!!! Nakuhakikishia we muombe huyo dada mgonge game za kirafiki ila kila mtu abaki na mtu wake, utashangaa anakubalije fastaa! We mwambi mjivinjarii sio kupeana commitment mbuzi
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,940
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  mhm sasa aewe tumia leverage bwana...wee sii unamsaidia masomo na unajua kabisa ukiitoa msaada wako yeyeatafeli...mwambie naomba kuwa tunajiliwaza pamoja ila endelea na bf wako maana wee umesema waendelea kumtamani na sio kumpenda so wit that naona wataka K. akikuyolea nje wacha nae a disxo kwani wee mzazi wake.
   
 13. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,753
  Likes Received: 4,009
  Trophy Points: 280
  lishinda pepo la ngono kijana!!
   
 14. A

  Aaron JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  let me TRY..
   
 15. A

  Aaron JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  tumezoeana sana nikimwambia mchezo hawezi kukataa kwani 2naheshimiana na ananikubali... But nitamnyima uhuru na b'friend wake hatochat nae nikiwa nae kwani mda mwingi nashnda nae.. Ila advantage kwangu b'friend wake yuko chuo cha jirani si mbali kutoka chuoni kwe2.
   
 16. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,067
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Lizzy njoo mshauri huyu Mvulana! Nadhan kuna haja ya ya kuwa na mtaala wa KUTONGOZA vyuoni!

  Dogo amua moja upige shule au uvunje ukimya!
   
 17. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,712
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Mapenzi mapenzi weeee yatatumaliza

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 18. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna jukwaa la siasa, huku ndiko mwake. Bila shaka leo umesahau na kuja huku kimakosa. Nakukumbusha tu JF senior
   
 19. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aaron, enzi zetu wewe unaitwa MSHIKA PEMBE maana unakaa mbele ya ng'ombe kuhakikisha anakula vema mashudu na mkamuaji ahaaa na kibuyu chake taratiibu anakamua mzigo, yupo nyuma ya ngo'mbe ambako mashine ipo. Nakushauri uendelee kushika pembe kwa sababu mkamuaji unamjua kama ulivyosema mwenyewe. Utapata thawabu.
   
 20. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,059
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Kwasababu anamtu wake achana nae.Tafuta wako,matamanio yako yatahamia kwake tu.
   
Loading...