mwalimu kupata GPA 3.5 masomo ya sayansi ualimu ni ngumu sana,nchi hii inaongozwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ,wanyemaamuzi ya kibabe,leo degree ni elimu ya kitoto sana ,cha kushangaza eti serikali ya tanzania inaipaisha hazi,wakati wao waliosomo miaka ya nyuma hamna chochote walichofanya zaidi ya kukimbilia uongozi,kuwanyima diploma kusomea degree ni roho mbaya za watawalaHiki ni kilio kikubwa kwa sisi diploma holders. Hatutakwenda kusoma vyuo vikuu hasa wenye diploma ya ualimu,hizo GPA ni kubwa mno.
Nasikitika kusema vyuo vikuu vingi vitafugiwa kuku.