Kulogea/kulogewa yai viza

Yai viza ni chanzo cha kipato
yai zima linauzwa 350-500
yai viza ni 2000+
Long time no see you.... Kibovu kinapokuwa na thamani kuliko kizima[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Leo nafukua makaburi

Jr[emoji769]
 
Damu ya Yesu inabomoa, inaharibu, inafuta maagano na nguvu zote za kishirikina. Ila uwe umepata neema na rehema za jinsi ya kuitumia especially kwa walokole was ukweli sio walokole feki. OKOKA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu ya Yesu inabomoa, inaharibu, inafuta maagano na nguvu zote za kishirikina. Ila uwe umepata neema na rehema za jinsi ya kuitumia especially kwa walokole was ukweli sio walokole feki. OKOKA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaamen...! Lakini tunaokolewa kwa Neema tu... Si kwa ujanja wetu ama umahiri wetu

Jr[emoji769]
 
Kaka mshana naomba unipe tofauti ya magic na super natural powers ntafurah zaidi nikipata na mfano.........

Pia ipi inanguvu kubwa katika upande wa madhara......na levels?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza kwanini wachawi,walozi,wanga wana exist na kufanya maovu kutesa na kuumiza,kuua wengine,kwanini sir god anawaangalia tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwachie Mungu kwakuwa hata juju liweje huwa lina kikomo cha kuishi na kufanya kazi expire date..
Mshanajr hii statement yako ni VALID?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…