Kulogea/kulogewa yai viza

Sorry to say this lakini kuna wanawake wamelogewa kunuka uchi, hapa kilichotumika kutengeneza huo uchawi ni yai viza
 
Hivi Mshana Jr. Mtu ambae haamini uchawi analogeka???
werrason Kuna vitu viwili hapa kuamini na kufanyiwa kitu usichoamini
Wachawi na walozi hupenda kutest ikijibu poa ikikataa watakuja kivingine
Ndio maana katika maisha kuna kipindi unaona kabisa mambo hayaendi lakini kwakuwa huamini katika uchawi na ndumba unapambana na hatimaye mambo yanatulia
Hebu soma hitimisho langu kwenye mada husika
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nahili lakuweka vifuu vya Nazi kwenye milango ya wahidi wana manisha nn na kwenye ofic zao wakuu
 
Mkuu nahili lakuweka vifuu vya Nazi kwenye milango ya wahidi wana manisha nn na kwenye ofic zao wakuu

Ushirikina mambo ya kiimani si vifuu tu bali hata majani ya mwembe kuchoma udi na kuvukiza
 
A see mkuu nilikuwa nafanya kaz kwenye company fulan ya wahind ni wachawi balaa dah
 

huwa nasoma mabandiko yako kwa umakini sana ila hili chai!
 
mshana jr, utajiokoa vp kwenye hiyo dhahama sasa

Hutakiwi kuishi kwa hofu kwakuwa mwanadamu amezungukwa na hatari za kila aina kikubwa na cha muhimu ni kusimama na Mungu wako na kuishi maisha yasiyoumiza wengine na yasiyo chuki mbele za Mungu
 
Last edited by a moderator:
It is amazing and strange to read satanic threads, in Contrast, if you post good news about God, JF will delete your thread for the diabolical reasons of religious hate.

Invisible , why is JF promoting devil worshipping?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…