- Thread starter
- #21
Uchumi unataka umchumu jamaa,Bado Hana elimu ya kutosha watu wanavyotengeneza pesa online
Ngoja nitulie 20k yao waliyo nipa inanitosha
Uchumi unataka umchumu jamaa,Bado Hana elimu ya kutosha watu wanavyotengeneza pesa online
Watu wajanja sana wanakupanga wakupge.Habarini wakuu, ninaswali kidogo juu ya hii biashara ya kulipwa kwa kuangalia video youtube.
Juzi nilitafutwa na namba whatsApp yenye country code ya marekani na akaniambia kuuhusu kuingiza ela kwa kuview videos youtube, akanitumia link nika view then wakaniuliza namba ya aacount nikatuma wakanitumia 10000 so akanitumia link ikanidirect telegram hulo nikapata maelekezo nikajiunga kwa group ambalo wanatuma task kila baada ya dakika 20 unaview video then unatuma screenshot video moja kamisheni yake ni 1000 ikifika 10000 wankutumia jana nikakamilisha 10000 wakanitumia tena sasa kuanzia jana jioni wakawanaleta na task nyingine ambazo zinahitaji uwatumie ela 100000 then wanakurudishia 130000 baada ya 20 minutes nikaskip hyo task kila ukiskip kamisheni inapungua sasa ikapungua mpka 200 so wakaniambia inabidi nimalizie hizo task ndo niendelee na za kuview videos.
Naomba ushuri juu ya hili, je ni kweli mtu anaeza kuinhiza ela kwa kuangalia video online. Asanteni
Kulipwa pesa kwa kuangalia video mtandaoni inawezekana ila sio telegram,
telegram ni full of scammers afu hao sio wamarekani ni either Ghana, Kenya au Nigeria, Nina uhakika alikuambia anatoka US ila country code sio 01, au hata kama ni ya marekani basi katengeneza tu hata mimi naweza.
Scammers kama hao nimekuta nao sana, achana nao hakuna kitu hapo
Ila kama unataka kupata pesa kwa kutazama you tube videos Kuna website inaitwa short task.com
hiyo unakuta tasks yoyote unapiga mfano , ku like page, kutoa review kwenye app ya mtu playstore , kuwatch videos za Facebook au YouTube nakadhalika.
Ila malipo yao ni madogo sana , per single task unaweza pata hata dola 0.1 , kwahiyo ili upata angalau $10 sawa na 25K per day inabidi upige tasks zaidi ya 100,
hasara yake nyingine ni kwamba hupati pesa hapo hapo, hadi aliyeweka hiyo task ajihakikishie ndio akuwekee hiyo pesa, hiyo inaweza chelewa hadi siku tatu ,
nb; hii inafanyika kwenye website husika ya short task so no scams.
Hasara zingine utaziona hukohuko, ila usikubali kupoteza mda wako kupiga kazi uliyopewa telegram.
Telegram is the home of scammers
Yani huko kote hujaelewa tu mkuu au ilivyopata muamala imani ikapanda[emoji23][emoji23]
Mbona simple tu mkuu mind you're business
Kweli mkuu maisha sio rahisi hivi amini hilo hakuna mtu atakupa hela kirahisi , hao wanakutaftia upenyoMuamala ukanifanya niaze kuamini mkuu ila ngoja nitulie tuu, kumbe maisha sio rahisi ivo
Naomba namba za hao jamaa. Wikiend inakuja halafu sina mtaji wa kubetHata mimi wamenicheki leo jamaa halaf wakanilipa ten chap....