Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

99boy

Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
10
Reaction score
7
Habarini wakuu, ninaswali kidogo juu ya hii biashara ya kulipwa kwa kuangalia video youtube.

Juzi nilitafutwa na namba whatsApp yenye country code ya marekani na akaniambia kuuhusu kuingiza ela kwa kuview videos youtube, akanitumia link nika view then wakaniuliza namba ya aacount nikatuma wakanitumia 10000 so akanitumia link ikanidirect telegram hulo nikapata maelekezo nikajiunga kwa group ambalo wanatuma task kila baada ya dakika 20 unaview video then unatuma screenshot video moja kamisheni yake ni 1000 ikifika 10000 wankutumia jana nikakamilisha 10000 wakanitumia tena sasa kuanzia jana jioni wakawanaleta na task nyingine ambazo zinahitaji uwatumie ela 100000 then wanakurudishia 130000 baada ya 20 minutes nikaskip hyo task kila ukiskip kamisheni inapungua sasa ikapungua mpka 200 so wakaniambia inabidi nimalizie hizo task ndo niendelee na za kuview videos.
Naomba ushuri juu ya hili, je ni kweli mtu anaeza kuinhiza ela kwa kuangalia video online. Asanteni
 
Mbuzi wewe..😂😂😂
Tayari umeelekezwa kibla
 
Kijana tangu lini ulipwe kuangalia video YouTube,mwenye video analipwa na sio wewe mtazamaji,kuwa makini hao ni matapeli wanakuvuta polepole wakupige na vitu vizito kichwani,
 
😂 safari ya uchumi huwa inamengi mi sitakufundisha ngoja uchumi wenyewe utakufundisha pale utakapokutana na wachumi wanaochumu kama hao!.
 
Nchi inawajinga sana ndio maana akina Mwamposa matajiri kwa kuuza udongo na chumvi😂😂😂
 
😂 safari ya uchumi huwa inamengi mi sitakufundisha ngoja uchumi wenyewe utakufundisha pale utakapokutana na wachumi wanaochumu kama hao!.
Ajabu sana pesa ina sauti kubwa na yenye mamamlaka kuliko
 
😂 safari ya uchumi huwa inamengi mi sitakufundisha ngoja uchumi wenyewe utakufundisha pale utakapokutana na wachumi wanaochumu kama hao!.
Uchumi unataka umchumu jamaa,Bado Hana elimu ya kutosha watu wanavyotengeneza pesa online
 
Ila kuna watu mna uwezo mdogo sana wa kufikiri, utapeli wa wazi kabisa huo alafu bila aibu unakuja kuomba ushauri?
 
Uchumi unataka umchumu jamaa,Bado Hana elimu ya kutosha watu wanavyotengeneza pesa online
Soko linataka soko sio kwamba soko linataka mnunuzi..! Litamkuta jambo asipokuwa makini..
 
Bila shaka we ni shabiki wa makolo maana akili nzito kama uji wa jana.
 
Back
Top Bottom