Kulipanuwa!

Kulipanuwa!

Pazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
2,946
Reaction score
1,815
Nyumba za kupangisha Uswazi zinatabu katika maneno wanayotumia hasa wakikaa Wanawake Single wataonekana Malaya hasa ukitumia Maneno kama , Oyaaaa leo mbona hatumuoni Mwajuma! Atarukia anayejua wapi kaenda Ah Mwajuma kaenda KulipaNUWA! Watu Ehhhhh?? kaenda kumpanulia kibingwa gani tena? kumbe masikini Demu kaenda kulipa Bili ya Maji NUWA!
 
Ya kwao yamewashinda kazi kumfuatilia mwaj

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom