Proud Patriot
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 224
- 11
Habari wadau, nimefanikiwa kununua visa card ya BancABC na kuiwekea balance pamoja na kufungua account ya paypal ready for online banking.
Baada ya hapo nikalink card yangu na paypal pamoja na kuweka code waliyotuma kwenye bank statement yangu.
TATIZO; Baada ya kulink succefully, balance yangu ni $0.00 siku ya nne leo, na hawajarefund $1.95 kama walivyoahidi NA PIA sioni sehemu ya ku ADD FUNDS to my paypal account.
Naona tu Overview,history,open cases. But sioni sehemu ya kuadd funds.
NAOMBENI MSAADA WENU.
Ahsante Mwalimu, sasa na tayari nilijaribu kulipia kitu cha 10 dollars KABLA hata sijaweka ile code kutoka kwenye bank statement. Na malipo yakaonesha COMPLETED.Kiasi tajwa huwa kinaonekana katika account statemnt ya bank yako na si katika paypal, paypal itaendelea kusoma $0.00
Hakuna haja ya ku ADD FUNDS katika account uako ya paypal ili kufanya malipo, Bali account yako ya benki ndio unapaswa kuiwekea kiasi cha fedha unachotaka kutumia online, mfano unataka kununua kitu cha dola 10 nasi kwenye afcount yako weka kiasi sawa na hicho kwa TSH
Malipo ufanyayo online hukatwa moja kwa moja katika account yako ya benki, na paypal account ni njia ya kupitishia hayo malipo.
Karibu
Habari wadau, nimefanikiwa kununua visa card ya BancABC na kuiwekea balance pamoja na kufungua account ya paypal ready for online banking.
Baada ya hapo nikalink card yangu na paypal pamoja na kuweka code waliyotuma kwenye bank statement yangu.
TATIZO; Baada ya kulink succefully, balance yangu ni $0.00 siku ya nne leo, na hawajarefund $1.95 kama walivyoahidi NA PIA sioni sehemu ya ku ADD FUNDS to my paypal account.
Naona tu Overview,history,open cases. But sioni sehemu ya kuadd funds.
NAOMBENI MSAADA WENU.
cost Tao kufungua a/c BancABC plz?
Je...ni...vitu...gani...napaswa....kuwa....navyo...pindi...niendapo...kufungua....a/cKununua visa card ambayo unapewa hapo hapo ni 5000 Tshs au 20$ imategemea unataka ya USD au TZS. Hii visa card haina account ndo maana unapewa hapo hapo.
Kufungua acc pia ni 5000 kama sio 10000 sina uhakika,, ila card baada ya wiki.
Je...ni...vitu...gani...napaswa....kuwa....navyo...pindi...niendapo...kufungua....a/c
National ID na passport umemaliza kazi 10minutes unakua na card
Leseni ya Udereva wamapokea?
Ndio ni national ID pia...
Au passport ya kusafiria,voters card etc
Mkuu mim sijaelewa kitu kimoja Juzi nilienda benk CRDB nikafanyaregistration pale ya akaunti ya iwe inafanya online banking services sasa cha ajabu leo ni siku ya tatu sijapata ujumbe wowote na wao walisema wataniambia kwa njia ya SMS
Link acct ya Bank na paypal uone jibu.... mwenyewe nilibadilisha kadi wakadai watatuma message ikapita week bila hiyo message nilipochukua initiative ya ku link paypal ikakubali tu bila shida...
Hivy sio lazima wakutumie msg zao kwamba tayari tumekulink na Online banking?kingine hapo nataka kujua ni kuhusu manunuzi ya vitu kwa mfn kuna mtandao wa china unaitwa dhgate unavitu cheap japo sio original lakin naona uko vizuri kwa bei sijui kama umewahi kununua kitu huko.....
Hiyo wanatumia Escrow hakuna paypal huko...labda transaxn iwe nje ya web yao...
Mara nyngi CRDB hutuma sms ila 48hrs zikipita usikae tu eti unasubiri sms...link card na paypal kama huduma haijawezeshwa PayPal watakupa taarifa kwamba Card issuer hajakupa support....
Aisee, on spot unapewa cad yako mkuu?Kununua visa card ambayo unapewa hapo hapo ni 5000 Tshs au 20$ imategemea unataka ya USD au TZS. Hii visa card haina account ndo maana unapewa hapo hapo.
Kufungua acc pia ni 5000 kama sio 10000 sina uhakika,, ila card baada ya wiki.
YesAisee, on spot unapewa cad yako mkuu?
Ngoja niende leo