NakaziaPicha
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hata Tausi hawaonekani tena!Wanyonge wanazidi kutengwa kila kukicha.
Nafikiri JIWE ndie presidaaa anaeishi kwa hofu sana kuliko waliyomtangulia. Sijui hii hofu inatoka wapi, maana ukiangalia maeneo yote nyeti katika nchi yanamtii... Sasa hofu ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wa IT wata sense camera dont try that...or otherwise you will find yourself in a cage of uncertaintyVaa shati yenye mfuko mbele hapo then pita unarekodi video then utaiplay kisha uchukue shots
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother mimi mwenyewe IT ayseee kutoka PrincetonKuna watu wa IT wata sense camera dont try that...or otherwise you will find yourself in a cage of uncertainty
Sawa kabisa nenda na kamera yako pale