sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Nastaajabu kuona maraisi wastaafu wakienda Ikulu kuzungumza na raisi yanapotumbuliwa majipu. Wanahabari wamekuwa wakituonyesha picha tu badala ya mazungumzo. Sijui kuna jipu gani lilitumbuliwa, JK akatia team Ikulu, majuzi hapa majipu ya makampuni 16 yametumbuliwa, BM akatia team. Kulikoni? Au ni kwenda kusalimia?