GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,832
Je,
Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti?

Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na kwakweli wanaelekea kuipa CCM ushindi wa kishindo Oct 29, 2025..

Suala la vyama vya siasa hususani vya upinzani nchini Tanazania, kukurupuka kuchukua hatua au maamuzi yasiyofaa bila kutathimini kwa kina athari za uamuzi huo limekua changamoto inayowapa hasara upinzani kila uchwao.

Unashauri wafanye nini ili hatimae wajiepushe na kasumba hiyo ambayo daima huwasababishia hasara na majeraha mabaya zaidi ya kisiasa wao wenyewe?🐒

Mungu Ibariki Tanazania
 
Zamani nilikuona kama GT lakini baada ya,kukufuatilia sana nikagundua wewe ni bonge la mzushi na muongo mkubwa sana
 
Umeshamshukuru Mungu kwa kuamka Salama? Au umekurupuka na Chadema tu, ulikuwa unaiota Chadema usiku?
Gentleman,
mbona huo ukurupukaji wako ni kama tu ule wa chadema kuwabandua uanachama COVID-19?

umeamka ni mihemko ya haja aise?
well done,
but why do you think chadema walikurupuka kuwatimua wale wadada ambao kwasasa wanakubalika mno kwa wananchi?🐒
 
Kakojoe urudi kulala umeamka na wenge la ndoto ya uchawa na fikra za kipuuzi. Ukiamka tena weka poll ya kuuliza kipi maarufu kati ya hao COVID wako na CHADEMA
 
Zamani nilikuona kama GT lakini baada ya,kukufuatilia sana nikagundua wewe ni bonge la mzushi na muongo mkubwa sana
Jikite kwenye content mahususi gentleman,

hizo porojo nyinginezo sio za maana sana kwenye issue ya msingi kama iliyoko mezani 🐒
 
kwani wew ni watchman hata ulale saa hii? au ndio umepokewa?

anyway,
that's useless,
the important issue ni kwamba, why wale COVID-19 wanakubalika mno kwa wananchi kwasasa hali ya kua chadema imesahaulika kabisa?🐒
 
Jikite kwenye content mahususi gentleman,

hizo porojo nyinginezo sio za maana sana kwenye issue ya msingi kama iliyoko mezani 🐒
Huna content yoyote hapo una political delusion, unavyodhani wewe unaamini ndivyo hali ilivyo huna facts wala grounds za kuweka conclusion eti COVID wamekuwa maarufu kuzidi CHADEMA hiyo research imefanyika lini, wapi, hypothetical questions zilikuwa ZIPI? sample size ilikuwaje?
Hujui tofauti ya wanasiasa waliowekwa frontline na CCM ili kuuaminisha umma kwamba upinzani wamekosea kutoshiriki uchaguzi na kuwapiga chini COVID 19 na hujiulizi kwanini watu kama Mke wa SALUM MWALIMU na mke wa Kigaila wamekuwa highly promoted?
Inawezekana una uwezo mdogo wa kuona vitu vidogo kwa ukubwa au vitu vinavyoonekana vikubwa vingali vidogo.
Hakuna mwanachama wa kuhadaika na COVID kama hajahadaika na mama yenu wala Mbowe. People are just calm and they know what the system plays against their party.
CHADEMA wanapambana na serikali, mfumo na mahakama hao COVID wako wanapambana na nini cha kukizidi UMAARUFU chama?
 
Build a System Once and Benefit Forever.

System nzuri haijali 'hazina watu' bali mifumo Smooth inayofanya kazi yenyewe. System nzuri hureject yenyewe ufanisi mbovu na takataka nyingine, huu si udhaifu bali ni Feedback Loop kuonyesha sehemu gani Kuna tatizo na kuliondoa.

CDM ni li System kubwa zaidi ya FAM Mdee Kigaila n.k
Katika system imara wana mitandao hawawezi kufanya kazi (G55), Parasites will be starved to death (jeriko)
 
Huna content yoyote hapo una political delusion, unavyodhani wewe unaamini ndivyo hali ilivyo huna facts wala grounds za kuweka conclusion eti COVID wamekuwa maarufu kuzidi CHADEMA hiyo research imefanyika lini, wapi, hypothetical questions zilikuwa ZIPI? sample size ilikuwaje?
Hujui tofauti ya wanasiasa waliowekwa frontline na CCM ili kuuaminisha umma kwamba upinzani wamekosea kutoshiriki uchaguzi na kuwapiga chini COVID 19 na hujiulizi kwanini watu kama Mke wa SALUM MWALIMU na mke wa Kigaila wamekuwa highly promoted?
Inawezekana una uwezo mdogo wa kuona vitu vidogo kwa ukubwa au vitu vinavyoonekana vikubwa vingali vidogo.
Hakuna mwanachama wa kuhadaika na COVID kama hajahadaika na mama yenu wala Mbowe. People are just calm and they know what the system plays against their party.
CHADEMA wanapambana na serikali, mfumo na mahakama hao COVID wako wanapambana na nini cha kukizidi UMAARUFU chama?
hiyo ndio haswa dhumuni la jukwaani hili gentleman, ikiwa ni delusions ama vinginevyo but that's is the main issue of my article.

huna haja ya research kwenye mambo dhahiri yanayoonekana hadharini kwa kila moja, unless ushupaze shingo kibinafsi kwa jeuri tu.

viongozi wanasiasa kukubalika na kuaminika kwa wananchi hua sio swala la kua mume au mke wa fulani, hiyo ni dhana potofu ya watu waliopoteza uelekeo.

wananchi wamehamasika sana kuelekea uchaguzi mkuu, na kwakweli wamewapokea vizuri sana wanasiasa hao ni ni wazi watashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo, huku ukibaki na gubu lako moyoni dhidi yao, right?🐒
 
Je,
Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti?

Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na kwakweli wanaelekea kuipa CCM ushindi wa kishindo Oct 29, 2025..

Suala la vyama vya siasa hususani vya upinzani nchini Tanazania, kukurupuka kuchukua hatua au maamuzi yasiyofaa bila kutathimini kwa kina athari za uamuzi huo limekua changamoto inayowapa hasara upinzani kila uchwao.

Unashauri wafanye nini ili hatimae wajiepushe na kasumba hiyo ambayo daima huwasababishia hasara na majeraha mabaya zaidi ya kisiasa wao wenyewe?🐒

Mungu Ibariki Tanazania
Hakuna ushauri wowote hapo CHADEMA walikuwa sawa kabisa kwa sababu waliingiliwa na chama chenu, mfano; una mke wako ambae ana changamoto ya kutopata mtoto Sasa ghafla anapata ujauzito unafurahi sana baadae unagundua ni jaran Yako ndo Katia mzigo huo je utaendea kutamba kwa watu, so shida ya nch yetu ni CCM tu!!
 
hiyo ndio haswa dhumuni la jukwaani hili gentleman, ikiwa ni delusions ama vinginevyo but that's is the main issue of my article.

huna haja ya research kwenye mambo dhahiri yanayoonekana hadharini kwa kila moja, unless ushupaze shingo kibinafsi kwa jeuri tu.

viongozi wanasiasa kukubalika na kuaminika kwa wananchi hua sio swala la kua mume au mke wa fulani, hiyo ni dhana potofu ya watu waliopoteza uelekeo.

wananchi wamehamasika sana kuelekea uchaguzi mkuu, na kwakweli wamewapokea vizuri sana wanasiasa hao ni ni wazi watashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo, huku ukibaki na gubu lako moyoni dhidi yao, right?🐒
Unasemaje kitu kimesahaulika wakati wewe binafsi hujakisahau mpaka unaamka asubuhi sana kukiwekea thread?
 
Build a system once and benefit forever.

System nzuri haijali 'hazina watu' bali mifumo smooth inayofanya kazi yenyewe. System nzuri hureject yenyewe ufanisi mbovu na takataka nyingine, huu si udhaifu bali ni feedback loop kuonyesha sehemu gani Kuna tatizo na kuliondoa.

CDM ni li system kubwa zaidi ya FAM Mdee Kigaila n.k
Katika system imara wana mitandao hawawezi kufanya kazi (G55), parasites will be starved to death (jeriko)
huenda lisystem ni libovu balaa,
mathalani athari za kubanduliwa kwa zito Kabwe, mwigamba na kitila mkumbo bado zinaitesa chadema zote ile ya G55!na hii chadema masalia pia.

System hiyo ilivyo mbovu na ya kilofa zaidi ikamuondoa Mzee slaa na kumuungiza hayati Lowasa, na mpaka leo credibility ya chadema masalia na g55 ni zero kwa wananchi.

alipoingia kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni kwa uropokaji hali ikawa mbaya zaidi kwasababu hakuna alieweza kuvumilia kuishi mazingira ya uropokaji, kuombaomba kuchangiwa pesa, uongozi wa matamko na press conference bila vikao.

tunavyojadiliana,
walioitwa wabunge wa COVID-19 ni more popular and vibrant kuliko chadema masalia na chadema g55 🐒
 
Hakuna ushauri wowote hapo CHADEMA walikuwa sawa kabisa kwa sababu waliingiliwa na chama chenu, mfano; una mke wako ambae ana changamoto ya kutopata mtoto Sasa ghafla anapata ujauzito unafurahi sana baadae unagundua ni jaran Yako ndo Katia mzigo huo je utaendea kutamba kwa watu, so shida ya nch yetu ni CCM tu!!
In fact hiyo ni dhana potofu gentleman,
Hata hivyo,
huoni kwamba chama kinachoamuliwa mambo yake ya ndani na chama kingine cha siasa ni very weak politically speaking? Na hakifai kuaminiwa wala kupewa dhamana yoyote na wananchi?🐒
 
hiyo ndio haswa dhumuni la jukwaani hili gentleman, ikiwa ni delusions ama vinginevyo but that's is the main issue of my article.

huna haja ya research kwenye mambo dhahiri yanayoonekana hadharini kwa kila moja, unless ushupaze shingo kibinafsi kwa jeuri tu.

viongozi wanasiasa kukubalika na kuaminika kwa wananchi hua sio swala la kua mume au mke wa fulani, hiyo ni dhana potofu ya watu waliopoteza uelekeo.

wananchi wamehamasika sana kuelekea uchaguzi mkuu, na kwakweli wamewapokea vizuri sana wanasiasa hao ni ni wazi watashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo, huku ukibaki na gubu lako moyoni dhidi yao, right?🐒
Hao Covid 19 hawakubaliki kwa wananchi wala Cdm. Bali wanakubalika Ccm ambako walitumika dhidi ya chama chao.

Sasa yanayofanyika ni namna ya Ccm kuwashukuru na kuwaenzi. Angalia hata walioishia namba 3 na nne wamepewa nafasi. Huko siyo kukubalika bali , mnalazimisha wana ccm waonekane hamnazo.
 
huenda lisystem ni libovu balaa,
mathalani athari za kubanduliwa kwa zito Kabwe, mwigamba na kitila mkumbo bado zinaitesa chadema zote ile ya G55!na hii chadema masalia pia.

System hiyo ilivyo mbovu na ya kilofa zaidi ikamuondoa Mzee slaa na kumuungiza hayati Lowasa, na mpaka leo credibility ya chadema masalia na g55 ni zero kwa wananchi.

alipoingia kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni kwa uropokaji hali ikawa mbaya zaidi kwasababu hakuna alieweza kuvumilia kuishi mazingira ya uropokaji, kuombaomba kuchangiwa pesa, uongozi wa matamko na press conference bila vikao.

tunavyojadiliana,
walioitwa wabunge wa COVID-19 ni more popular and vibrant kuliko chadema masalia na chadema g55 🐒
Mbunge Bwege - "Naiona CDM as Undisputed Party hapa Tanzania kama itasimama na system yake na misimamo hii mpaka 2030 hakuna chama kingine kitaiweza"
 
Hao Covid 19 hawakubaliki kwa wananchi wala Cdm. Bali wanakubalika Ccm ambako walitumika dhidi ya chama chao.

Sasa yanayofanyika ni namna ya Ccm kuwashukuru na kuwaenzi. Angalia hata walioishia namba 3 na nne wamepewa nafasi. Huko siyo kukubalika bali , mnalazimisha wana ccm waonekane hamnazo.
Gentleman,
CCM ndio wananchi na waTanzania wenyewe hao na ndio walio wengi zaidi nchini, na kwahivyo hiyo ni kumaanisha kwamba COVID-19 wanakubalika zaidi na kuaminika sana kwa wananchi kuliko chadema masalia na ile G55 pia.

ni vizuri kufahamu hilo gentleman 🐒
 
Zamani nilikuona kama GT lakini baada ya,kukufuatilia sana nikagundua wewe ni bonge la mzushi na muongo mkubwa sana
Huyo lofa ni tapeli aliyevaa ngozi ya kondoo, ametapeli watu kutumia zile hadithi za kutunga za abunuwasi. Ndio maana wafuasi wa chadema wanaitwa nyumbu
 
Back
Top Bottom