Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya wa kubonga na wake za watu wapatao 10,wote bila hata usumbufu wa hapa na pale,walikubali kunipa mzigo ingawa sikuwachimbua.Hali hiyo ni tofauti kabisa kwa mabinti ambapo kati ya mabinti 10,hawazidi nusu hukubali kuachia mzigo ingawa ni baada ya kausumbufu ka hapa na pale.
HOJA FIKIRISHI:Ni nini huwapata hawa wake za watu mpaka wanakuwa maji mara 1?
Nilijaribu kujijibu kuwa huenda ndoa zaidi ya 95% zina migogoro mikubwa sana kiasi hushawishi wanawake kufikiria kujipooza wakidhani wanawakomoa waume zao kumbe huharibu zaidi.
NB.
Msinirushie mawe kwa utafiti huu jamani,ni ukweli usiopendeka,la kujua tu ni kuwa wake zetu ni hatari zaidi ya tusivyowadhania.
UWANJA NI WENU TUPATE CHANZO CHA TATIZO HILI.