Kulikoni wake za watu wanakuwa maji mara moja?

Kulikoni wake za watu wanakuwa maji mara moja?

Ingekuwa vizuri ungeanza kumuuliza mkeo kuwa kwanini yeye ni maji mara Moja?
 
Ukiona mwanamke wa mtu anafanya hivyo anatafuta faraja ujue kwake hapati faraja mume ndio gari limewaka atafanya nini sasa
 
Wengi hubakwa na wenza wao,hawaandaliw vya kutosha,ivyo akitokea mtu anakimbia spidi kuliko y 4G
 
usinikumbushe mkuu kuna demu mmoja mke wa mtu nilizama mpaka chumbani kwake yaani sikuwa na ambani kabisa kila muda nahisi kama mlango unafunguliwa yaani hta sikumla iliniuma sana lakini nilikuwa naokoka pia
 
Back
Top Bottom