Kulikoni waandishi wa habari, nini kimewasibu taarifa ya CAG hakuna anayeitolea taarifa?

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Kiukweli kama siyo boss yule wa Wizara ya Habari kutoa maelekezo naumia sana kuona waandishi wa habari kufumbia macho taarifa ya CAG ambayo madudu mengi yametolewa taarifa ndani ya Bunge, nimemuona Musukuma anafoka na Waitara kwa kusema wanaoliibia taifa hili ni wenye suti na tai.
 
Nape alipewa jukumu la kuhakikisha wandish hawabweki hivyo kila anyebweka anatupiwa mfupwa
 
Kiukweli kama siyo boss yule wa Wizara ya Habari kutoa maelekezo naumia sana kuona waandishi wa habari kufumbia macho taarifa ya CAG ambayo madudu mengi yametolewa taarifa ndani ya Bunge, nimemuona Musukuma anafoka na Waitara kwa kusema wanaoliibia taifa hili ni wenye suti na tai.
Asali ni tamu sana, haijawahi muacha mtu mnyonge...
 
Back
Top Bottom