William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?
- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
Le Mutuz Live In Mbeya!!
- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
Le Mutuz Live In Mbeya!!