Kulikoni ukimya wa Mwanasiasa Machachari John Shibuda

Kulikoni ukimya wa Mwanasiasa Machachari John Shibuda

Siku zote wasaliti wanaishiaga hivyooo

Ova
 
watanzania wana shauku ya kujua ukweli nini kimemtokea kiumbe huyu, hata angekuwa kahariri Mbowe gazeti likatoka km hajatuwekea ushahidi wa video au picha ni porojo,
Uliwahi kwenda ufipa ukauliza kuhusu hili?[/QUOTE]
nikafanye nini ufipa? nakuuliza wewe maana unaonekana unajua kitu
 
Back
Top Bottom