Mkuu tutegemee kuwa mwenyekiti wa vyama visivyo na madiwani hapa nchinina huo uenyekiti wa vyama visivyokuwa na uwakilishi bungeni vitapata kweli uwakilishi chini ya Shibuda
hivi kwanini CHADEMA wasimpe nafasi hata ya ujumbe au shina naona km ndo anajifukia ktk kaburi mwenyeweYeye kama sikosei yupo TADEA(haina mbunge wala diwani)basi chama chake na vyama vingine kama TADEA, wakaunda UMOJA WA VYAMA VISIVOKUA NA UBUNGE NA UDUWANI TANZANIA
ningalikuwa me hata huo uteuzi nisingekubali, kuongoza kitu ambacho tayari kishashindwaMkuu tutegemee kuwa mwenyekiti wa vyama visivyo na madiwani hapa nchini
Hivi kifupi cha huo umoja kinaweza kuitwaje?Yeye kama sikosei yupo TADEA(haina mbunge wala diwani)basi chama chake na vyama vingine kama TADEA, wakaunda UMOJA WA VYAMA VISIVOKUA NA WABUNGE NA MADIWANI TANZANIA
Mkuu ogopa sana njaa na kuuza suraningalikuwa me hata huo uteuzi nisingekubali, kuongoza kitu ambacho tayari kishashindwa
Mkuu ogopa sana njaaningalikuwa me hata huo uteuzi nisingekubali, kuongoza kitu ambacho tayari kishashindwa
du hapo hata me nasubiri jibuHivi kifupi cha huo umoja kinaweza kuitwaje?
angerudi CHADEMA akatubu, naamini mtampokeaMkuu ogopa sana njaa
Hapana Rais wa Ufipa ni Rafiki yangu sanauna ugomvi na Ufipa si bure
Kwani alitoka chadema au sisi ndio tulimtuma kuledu hapo hata me nasubiri jibu
angerudi CHADEMA akatubu, naamini mtampokea
kwa hiyo ujira wake ndio huo uenyekiti wa vyama visivyo na uwakilishi bungeni, si dharau hiyoKwani alitoka chadema au sisi ndio tulimtuma kule
" Kelele za coin hazisumbui ukimya wa noti mfukoni"- ShibudaPoleni na heka heka za maisha
Huyu ni mwanasiasa machachari sana, ukimya wake umefanya watanzania kuwa na maswali mengi, kwanini yupo kimya sana? nini kimemfika Shujaa huyu? watanzania tunahitaji kusikia neno toka kwake
Ahsanteni sana makada, wareketwa, makamanda na wazalendo
Joshua Nassari kakalia kuti kavuUnaweza ukasema, CHADEMA niwavumilivu sana, John Shibuda miaka 5, yake kupitia CHADEMA aliwavuruga sana hata kwenye bunge la katiba, wenziwe walisusia, yeye aliendelea na hawakumchukulia hatua yoyote ile
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Jamaa ana misemo/nahau za kiswahili nyingi sana utadhani si msukuma" Kelele za coin hazisumbui ukimya wa noti mfukoni"- Shibuda
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji12] [emoji12] [emoji12] Jamaa ana misemo/nahau za kiswahili nyingi sana utadhani si msukuma