Kulikoni ukimya wa Mwanasiasa Machachari John Shibuda

Yeye kama sikosei yupo TADEA(haina mbunge wala diwani)basi chama chake na vyama vingine kama TADEA, wakaunda UMOJA WA VYAMA VISIVOKUA NA WABUNGE NA MADIWANI TANZANIA
Huu Umoja ni sawa na Umoja wa vikundi vya Kigodoro kule Buguruni. Hakika Shibuda amevuna alichopanda. Hawa watu huwa akili zao ziko wapi mpaka huwa wanashindwa kujielewa? Ziko hii sehemu ya kukalia?
 
Alipanda nini?
 
Magu anaweka fedha za kununua ndege,hana hela za kumlipa kuvuruga upinzani
Apeche lolo siku hizi
 
mteseni lkn mwachieni roho yake
Tumtese kwani ametukosea nini? Kwa mujibu wa mwanahalisi (kama sio habari ya kupikwa) ni kwamba saa nane anaonekana kwa maswahiba zake akiwemo mwenyekiti wa chama.

Kifupi saa tisa hanaa madhara kwa serikali pia watu wangemtaka wangemfuata kumchukua
 
aliyeandika alete na ushahidi wa picha alipoonekana sio porojo

km hana madhara yuko wapi sasa?
 
[QUOTE="habari ya hapa, post: 19060944, member: mmilik]aliyeandika alete na ushahidi wa picha alipoonekana sio porojo

km hana madhara yuko wapi sasa?[/QUOTE]
Hivi alieandika hii habari ni nani? Hivi unajua mmilikiki wa mwanahalisi online anacheo gani chadema. Kati ya aliesema ben ameonekana sehemu akiwa na watu wa chadema na hao wanaombiwa wamemteka, nani anapaswa kuusema ukweli? Wakati mwingine kuongozwa na wasio na uelewa katika siasa huwafanya wanachama wote wawe mazuzu. Ukitaka Kujua alipo ben mfuate Jabir Idriss ambaye ndio mhariri akwambie. Ben hana madhara kwa serikali
So msimpe ushujaa wa kutekwa. Kwa tunaojua MISSIONS za saa tisa tumenyamaza
 
aliyeandika alete na ushahidi wa picha alipoonekana sio porojo

km hana madhara yuko wapi sasa?
Kama ni Porojo zimeletwa na Nyumbu. MAANA TAARIFA IMETOLEWA NA MTU WA KAMATI KUU YA CHADEMA. Tufiche madhaifu yetu.. Narudia kusema Ben Hana Madhara kwa serikali labda kwa chama chake. Ukitaka kumjua Ben ungefuatilia ule mtifuano wake na ZITTO. BEN NI DANGEROUS WEAPON USIMUAMINI
 
[QUOTE="habari ya hapa, post: 19060944, member: mmilik]aliyeandika alete na ushahidi wa picha alipoonekana sio porojo

km hana madhara yuko wapi sasa?
Hivi alieandika hii habari ni nani? Hivi unajua mmilikiki wa mwanahalisi online anacheo gani chadema. Kati ya aliesema ben ameonekana sehemu akiwa na watu wa chadema na hao wanaombiwa wamemteka, nani anapaswa kuusema ukweli? Wakati mwingine kuongozwa na wasio na uelewa katika siasa huwafanya wanachama wote wawe mazuzu. Ukitaka Kujua alipo ben mfuate Jabir Idriss ambaye ndio mhariri akwambie. Ben hana madhara kwa serikali
So msimpe ushujaa wa kutekwa. Kwa tunaojua MISSIONS za saa tisa tumenyamaza[/QUOTE]
watanzania wana shauku ya kujua ukweli nini kimemtokea kiumbe huyu, hata angekuwa kahariri Mbowe gazeti likatoka km hajatuwekea ushahidi wa video au picha ni porojo,
 
Kama ni Porojo zimeletwa na Nyumbu. MAANA TAARIFA IMETOLEWA NA MTU WA KAMATI KUU YA CHADEMA. Tufiche madhaifu yetu.. Narudia kusema Ben Hana Madhara kwa serikali labda kwa chama chake. Ukitaka kumjua Ben ungefuatilia ule mtifuano wake na ZITTO. BEN NI DANGEROUS WEAPON USIMUAMINI
kwa hiyo kajichukua mwenyewe
 
Hivi alieandika hii habari ni nani? Hivi unajua mmilikiki wa mwanahalisi online anacheo gani chadema. Kati ya aliesema ben ameonekana sehemu akiwa na watu wa chadema na hao wanaombiwa wamemteka, nani anapaswa kuusema ukweli? Wakati mwingine kuongozwa na wasio na uelewa katika siasa huwafanya wanachama wote wawe mazuzu. Ukitaka Kujua alipo ben mfuate Jabir Idriss ambaye ndio mhariri akwambie. Ben hana madhara kwa serikali
So msimpe ushujaa wa kutekwa. Kwa tunaojua MISSIONS za saa tisa tumenyamaza
watanzania wana shauku ya kujua ukweli nini kimemtokea kiumbe huyu, hata angekuwa kahariri Mbowe gazeti likatoka km hajatuwekea ushahidi wa video au picha ni porojo,[/QUOTE]
Uliwahi kwenda ufipa ukauliza kuhusu hili?
 
Back
Top Bottom