habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Poleni na heka heka za maisha
Huyu ni mwanasiasa machachari sana, ukimya wake umefanya watanzania kuwa na maswali mengi, kwanini yupo kimya sana? nini kimemfika Shujaa huyu? watanzania tunahitaji kusikia neno toka kwake
Ahsanteni sana makada, wareketwa, makamanda na wazalendo