Kulikoni UDOM?

jamani wana jf nasikia udom wamefanya interview kimyakimya siku ya jumapili,je kuna mdau ana taarifa hiyo?

ha ha ha ha ah aha ha ha ha ha hah!!! Unacheza na UDOM teh teh te teh ethe....jamaa wamekwisha anza na kazi!!
 
Hata mimi niliaply, ila ninachotaka kuwambia marafiki zangu ni kwamba tuwe wavumilivu maana naamini bado hawajaajiri kwa nafasi zote zilizotangazwa yaani kuanzia zile za mwezi wa tano hadi zile za mwezi wa nane. Ila napenda kuwambia wahusika wa udom watoe tamko kuhusiana na suala hili maana muda umekuwa mrefu ili tujue nini la kufanya na kama tayari wameishaajiri kinyemera basi itakuwa ni bora nao walazimishwe nafazi zao za kazi ziwe zinatangazwa kupitia sekretariati ya ajira katika utumishi wa umma maana huko kuna haki na unafuu kwa kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom