Kulikoni StarTV na Radio Free Africa?

Kulikoni StarTV na Radio Free Africa?

Diallo yuko kwenye danger zone ya kufilisika!
Yametimia! Kweli nimeamini kumtumikia shetani mwishowe ni anguko la aibu!
Nguvu alizokuwa anatumia yeye na vyombo vyake kuitetea CCM wasingemuacha aishie kwa fedheha kama hizi, ni kwamba hawamuhitaji tena kwani CCM wana mbadala wa machawa kama EFM, WASAFI na CLOUDS
 
Back
Top Bottom