Kulikoni StarTV na Radio Free Africa?

Kulikoni StarTV na Radio Free Africa?

Tatizo wafanyakazi wa kwenye media house nao huwa wanavimba sana kuonekana wana maisha mazuri. Watangazaji huwa wanalipwa kidogo mno ila cha kushangaza wako tayari kuvumilia yote ili tu wasikike. Kuna Redio 5 Arusha nayo ni majanga. Wale hawajalipwa miezi mingi sana. Diallo akubali tu kwamba hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho.
Wanalipwa kiduchu kama mwalimu vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jee hizi tetesi kuwa wafanyakazi wamegoma kudai mishahara ni za kweli? Maana naona kwa siku mbili tatu matangazo hakuna ni miziki tuu bila ukomo!

Na kwa nini vyombo vingine vya habari vimefanya huu ni usiri jee hawataki kuzungumzia haki za wenzao? Au na wao hawakuwa na ushirikiano na wenzao?

Hata CCM wameshindwa kutoa msaada kwa kituo ambacho ndio msaada wao mkubwa kwa propaganda zao?

=====================

Steve Diallo, mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM amesema “Wanadai malipo ya mishahara ya miezi tofauti, wapo wa miezi mitatu na wengine zaidi, tumetoa taarifa TCRA na kwenye Ofisi ya Kamishna wa Kazi, hata Waziri Nape (Nnauye) alipiga simu kuulizia kinachoendelea.”

Ameongeza “Tunafanya vikao na wafanyakazi ili kutatua changamoto. Pesa hatuna, hatuzalishi ya kutosha ukilinganisha na mahitaji yaliyopo ya Satellite na kukatika kwa umeme. Kukatika-katika kwa umeme kumesababisha matumizi makubwa ya jenereta.”
Laana ya kumtukana Magufuli
 
Nashindwa kuelewa ndo kwamba sikuhizi hawana kabisa matanganzo ya kibiashara.....au hawana vipindi vizuri vya kuwashawishi wadhamini watupie mpunga....?
Kuendesha media siyo mchezo kunaitaji akili sana..
Sahara media wanapaswa kubadilisha muundo wa uongozi wao pamoja na maudhui kwa ujumla.
 
NILIFUNGULIA JNNE USIKU NISIKILIZE BOLINGO TIME NIKAKUTA TOFAUTI NA NILICHOTEGEMEA DAH RADIO YETU JAMANI TUMEIZOEA PAMOJA NA UCCM WAO HEBU MALIZENI CHANGAMOTO HIYO RADIO YETU IRUDI KWA HEWA.
 
Wanalipwa kiduchu kama mwalimu vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwalimu anaweza kuwa na unafuu. Mwaka 2012 kuna redio maarufu walikuwa wanalipa 170k wakati mwalimu alishavuka hicho kiasi. Watangazaji wajanja wajanja huwa wanatumia umaarufu wao kufanya mambo mengine. Tatizo lingine ni kuwa watangazaji wengi wana elimu ndogo sana hivyo kutoka nje ya walipo ni ngumu.
 
Wafanyakazi wa RFA na Stattv wanamaisha magum kitambo sana, pale hakuna wanachopata hata nauli ya kwenda kazin utajua unaitoa wap, watu wameng'ang'ania kuendelea kufanya kazi kwakua wakisikika sikika mtaani wanapata wadau wa kuwapa shilingi mbili tatu tu
Ni kwel,tatzo la kutolipwa mishahara kwa wakati limeanza siku nyingi sana pale,toka kipindi hicho wakina Fred Fidelis walipoondoka
 
NILIFUNGULIA JNNE USIKU NISIKILIZE BOLINGO TIME NIKAKUTA TOFAUTI NA NILICHOTEGEMEA DAH RADIO YETU JAMANI TUMEIZOEA PAMOJA NA UCCM WAO HEBU MALIZENI CHANGAMOTO HIYO RADIO YETU IRUDI KWA HEWA.
Ilikuwa bonge la radio station,

Hivi naona watoto wanailingamisha na viradio uchwara vya juzi
Wanajua madini yaliyokuwa yanashushwa na

1. Mtoto wa mama sabuni?
2. Juma Ahmed Balagaza (JB)
3. Fred Waa (R.I.P)
4. Dr. Roy Ndariki Maganga
5. Rahabu Fungo
6. Sky Walker Bundala

Anyway tuseme hivi
Mnajua kipindi bora cha usiku wa mahaba?
Je wajua?

Je huu ni ungwana?

Mchana na Celtel
(Tuma salam kwa wwtu 3 waambie watumie Celtel)

Boringo Time

Search line
(Namtafuta Nyahoza Makubi tulipotezana shule ya msingi Mshukamano C mwaka 1960, namwambia nilimpenda sana na ka.a ananiskia anitafute kwa nambari...)

Mambo Mambo eeeeee

Sitasahau
(Leo tutakuwa na jamaa yetu aliekuwa na safari Tanzania hadi Africa kusini)

Amka na BBC
(Tukianzia huko Kenya, Rais wa nchi hiyo Arap Moi ametoa onyo kali kwa wezi wa mifugo)

Hii ni Sauti ya America na Mimi Mkamiti Kibayasa

Dw doch Were saa saba mchana (Tunaanzia nchini Iraq, Vikosi vya jeshi la Marekani vimesema vinakaribia kumpata rais wa Nchi hiyo Sadam Hussein)

************
Mwenye Tangazo la safari larger naliomba, lilikuwa linaligwa R.F.A saa mbili kipindi cha Michezo

Safari ni Safari, Safiri Tanzania..... Safari Moja ....huanzisha Nyingine...

Linamalizia na kizibo kufunguka tufuuuuu...

Soda ilikuwa 200 ukiondoka na chupa unalipia 250/=
 
OSTAZI PETER OMARI HAYAT prince BAINA KAMUKULU HAYATI ALEXA NGUSA HOME BOY DIWANI KILUMBA ILIKUA HATARI SANA ZM ZUBERI MSAMAHA RIP BABU SAMADU HASANI HII NDIO ILIKUA SOUNDS OFF AFIRICA
 
Jee hizi tetesi kuwa wafanyakazi wamegoma kudai mishahara ni za kweli? Maana naona kwa siku mbili tatu matangazo hakuna ni miziki tuu bila ukomo!

Na kwa nini vyombo vingine vya habari vimefanya huu ni usiri jee hawataki kuzungumzia haki za wenzao? Au na wao hawakuwa na ushirikiano na wenzao?

Hata CCM wameshindwa kutoa msaada kwa kituo ambacho ndio msaada wao mkubwa kwa propaganda zao?

=====================

Steve Diallo, mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM amesema “Wanadai malipo ya mishahara ya miezi tofauti, wapo wa miezi mitatu na wengine zaidi, tumetoa taarifa TCRA na kwenye Ofisi ya Kamishna wa Kazi, hata Waziri Nape (Nnauye) alipiga simu kuulizia kinachoendelea.”

Ameongeza “Tunafanya vikao na wafanyakazi ili kutatua changamoto. Pesa hatuna, hatuzalishi ya kutosha ukilinganisha na mahitaji yaliyopo ya Satellite na kukatika kwa umeme. Kukatika-katika kwa umeme kumesababisha matumizi makubwa ya jenereta.”
Watu wanadai mishahara ya miezi mitatu kwani umeme kukatikakatika imeanza lini?
 
Ilikuwa bonge la radio station,

Hivi naona watoto wanailingamisha na viradio uchwara vya juzi
Wanajua madini yaliyokuwa yanashushwa na

1. Mtoto wa mama sabuni?
2. Juma Ahmed Balagaza (JB)
3. Fred Waa (R.I.P)
4. Dr. Roy Ndariki Maganga
5. Rahabu Fungo
6. Sky Walker Bundala

Anyway tuseme hivi
Mnajua kipindi bora cha usiku wa mahaba?
Je wajua?

Je huu ni ungwana?

Mchana na Celtel
(Tuma salam kwa wwtu 3 waambie watumie Celtel)

Boringo Time

Search line
(Namtafuta Nyahoza Makubi tulipotezana shule ya msingi Mshukamano C mwaka 1960, namwambia nilimpenda sana na ka.a ananiskia anitafute kwa nambari...)

Mambo Mambo eeeeee

Sitasahau
(Leo tutakuwa na jamaa yetu aliekuwa na safari Tanzania hadi Africa kusini)

Amka na BBC
(Tukianzia huko Kenya, Rais wa nchi hiyo Arap Moi ametoa onyo kali kwa wezi wa mifugo)

Hii ni Sauti ya America na Mimi Mkamiti Kibayasa

Dw doch Were saa saba mchana (Tunaanzia nchini Iraq, Vikosi vya jeshi la Marekani vimesema vinakaribia kumpata rais wa Nchi hiyo Sadam Hussein)

************
Mwenye Tangazo la safari larger naliomba, lilikuwa linaligwa R.F.A saa mbili kipindi cha Michezo

Safari ni Safari, Safiri Tanzania..... Safari Moja ....huanzisha Nyingine...

Linamalizia na kizibo kufunguka tufuuuuu...

Soda ilikuwa 200 ukiondoka na chupa unalipia 250/=
It wa The Golden Time
 
Back
Top Bottom