Kulikoni Sitta na Makamba?

Kwa moono yangu Yusufu ndio mnafiki, ila bwana wanasemaga 'if you can't fight him, join him" kwa hiyo Samwel akae kwa tahadhari.
 
Hivi Makamba ni mbuge wa jimbo gani tena,hivi kweli alichaguliwa na wanchi au ndo ile ya fadhila.
 
- Mafisadi walichokosea sana ni pale Rostam alipojaribu kumshawishi Kinana in the private, a week before kujiunga na hii njama ya kumng'oa Six, wakati Kinana ameshasema sana in private kwamba siku akishika nafasi ya Makamba, ambayo anatakiwa kuichukua anytime agenda yake ya kwanza itakuwa kuwafukuza chama mafisadi wote na kuwafikisha kwenye sheria,

- Rostam alimshangaza sana Kinana na choices za Lowassa na Chenge, kuchukua nafasi ya Six, ndipo mpango wao mzima ulipoharibikia maana from there on Kinana worked his tail off mpaka kuwa-nutralize na kuishia kuwapa kamati ya Mwinyi, the first thing he flew to meet Karume aliyesaidia kwa 60% kuwashinda hawa mafisadi, then he met Muungwana, and then ilikuwa mikutano ya masaa mengi sana mpaka saa za usiku wa manane, maeneo ya Sea View, ambapo Six was called too siku mbili kabla ya kikao cha NEC na kuelezwa the whole story na what to do na not to do, siku ya kikao!

- Nimesema mara nyingi sana hapa, kwamba wananchi tukisimama kidete hawa viongozi hawawezi kutuchezea na huu ni mfano halisi, wananchi, media, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa wengi walisimama kidete na kusema what NEC did ni un-acceptable, na hasa Pengo ndiye aliyepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la mafisadi. Wengi tunafarijika sana kuweka siasa za vyama pembeni, kwamba mafisadi na CCM wamesikia our message kwamba leave bunge na wabunge alone,

- Na heshima iwaendee wapiganaji wote 11 kwa msimamo thabiti, na wananchi wengi waliosimama imara na msimamo usioyumba toka kile kikao cha NEC, infact nimetengeneza ushahidi wa kutosha sana kufikishwa kwenye kamati ya Mwinyi, video ndefu sana ya viongozi mbali mbali wa jamii yetu wakiongea kwa nyakati mbali mbali, wakipinga mafisadi na ufisadi wao, pia nimejumuisha sana maandiko mengi sana ya jamii on the ishu, ambayo ni auto mandate kwa wabunge wetu kuyawakilisha bungeni, yaani mawazo ya wananchi at large sio lazima yawe ya wananchi wa majimbo yao tu ya uchaguzi, na walipokuwa wakiyafikisha nia haikuwa kuichafua serikali au chama kama walivyoshambuliwa na mafisadi kule NEC, bali walikuwa wakiyafikisha maoni tu maoni ya wananchi ya kuikosoa serikali yao, nothing to do na chama wala NEC.

Mungu Aibariki Tanzania.

Respect.

FMEs!
 
Huyu jamaa anayejiita Makamba ni msaniii sana tena ana siasa za kizamani sana, Tanzania ya leo na dunia nzima ya leo si ile ya enzi anayoifikiria Makamba na watu wenye mawazo na mtazamo kama wake, hii ni danganya toto!!! Sita anajua kabisa kwamba anafanyiwa sanaa, watanzania wanaofuatilia mambo yao hasa kwa upande wa CCM wana imani kwamba usanii huu utakwisha tu!! Makamba anatufanya wajinga, hana jipya.
 
Back
Top Bottom