Kulikoni Salama Kondom na Dume, kuadimika sokoni?

Dah! Hata sikumbuki Mara ya mwisho kuziona hizo kitu lini as they are not basic in my sexual life.

Yaani hata bei zake sizijui Mara ya mwisho nilikuwa naona tangao la Dume condom in zaidi ya miaka mitatu sasa imepita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa kuna uhaba mkubwa sana wa kondom madukani mimi nimetomba kavu mara 2 juzi nimemtomba malaya jana demu wangu bila ndom serikali itufikirie kwanini wajenge fly over wakati mtaani kondom hakuna izo barabara wanazojenga kwanini wasisubiri kwanza mpaka wahakikishe kuna upatikanaji wa kondom nchi nzima ndo waanze kujenga waletw kondom kwanza miundo mbinu isubiri kwanza watu tutombane mtaani uku

duuh malaya kavu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi mzee Magu kapiga marufuku, sababu anadai uzazi wa mpango hauna maana kwa taifa. Taifa linahitaji nguvu kazi na wao wanasema tusizaane,lakini kuna madhara makubwa sana ongezeko la magonjwa ya zinaa na watoto wasio kwenye mipango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hili swala la salama (kondomu) tunaomba liangaliwe upya kwani kwa sasa hivi hali mbaya kondomu paketi moja ni sh 1,000 kutoka tsh 500 hali ni mbaya na mbali na bei hiyo lakini zimekuwa chache sana madukani kwa maana hiyo tutarajie mimba+ magonjwa kama ukimwi n.k
Mimi nlianza kutumia condom wakati inauzwa 100 mpaka sasa 1000. Bora niendelee kubaki na Mama chanja wangu 2.
 
Habari wapendwa?

Ni muda sasa umepita toka mwezi wa 12 mwaka jana hakuna kondom sokoni(kama mtu anazo ni stock) nimejaribu kuuliza nikaambiwa haziji Tanzania mpaka mwezi wa sita watakapo pata vibali upya.

Kwa wauza maduka jumla na rejareja watakua wanajua kinachoendelea. Kufikia sasa kondom imepanda bei toka 500 hadi 1000. Mwenye taarifa zaidi tunaweza kushare pamoja.

Au ndo ile kauli hakuna haja ya mpango wa uzazi, kila mtu azae anavyoweza?

Asanteni karibuni jamvini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakua ni njama ya kupromoti Mifuko lain ya plastic. Itumike kama Condom. Mfuko lain moja ni 50, Condom moja ni 1000. Wanaokunywa gongo na wale wa Konyagi wote tunapata ladha moja
 
Back
Top Bottom