Kulikoni Salama Kondom na Dume, kuadimika sokoni?

Kuna zile marlboro/rambo plastic nyeusi ndogondogo huwa ni nzuri sana kwaajili ya kuzuia maambukizi
 
Mzigo unatembea kama njugu bei 1k hakuna anaeuliza..

Kwa anaehutaji anicheki tuongee biashara
IMG_20190212_081226.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hili swala la salama (kondomu) tunaomba liangaliwe upya kwani kwa sasa hivi hali mbaya kondomu paketi moja ni sh 1,000 kutoka tsh 500 hali ni mbaya na mbali na bei hiyo lakini zimekuwa chache sana madukani kwa maana hiyo tutarajie mimba+ magonjwa kama ukimwi n.k
Soma hapa
 
Tutarajie Ongezeko la magonjwa ya Zinaa kama Kaswende, Kisonono na UTI bila kusahau ukimwi Kabisaa.. Kama kuna hila za aina yeyote Ile ili kujinufaisha niwaombe muachane na huo mpango mana mtaua na kutesa ndugu zenu bure tu.. Watanzania walio wengi ni maskini na starehe yao kubwa ni hiyo ili wasahau shida zinazowakabili hivyo chonde chonde

Hapo kweny UTI hapo ndo noma
 
Ninachoweza kuamini kuwa maisha ya mtanzania kiuchumi bado sio nzuri kiasi kwamba unaweza kuona hiyo elfu 1 kama ni pesa ndogo lakini kuna mwingne ambaye analipwa hiyo buku kwa siku kama ujira wake na kuna mwingine ambaye hata kwa siku hawezi kupata hiyo buku kuna watu vijijini huku tulipo akiwa na buku hiyo tayari anapiga mahesabu ya kununua salama na kuhonga pia hapo hapo jamani maisha sio poa kama tunavyofikiri yes sikatai kuna salama hadi za elf tano lakn niambie mtanzania wa kawaida anaweza kumudu hiyo bei? Tunaweza kudharau hizo salama za 500 lakini zilikuwa mkombozi kwa wengi lakini cha ajabu ni bora bei ndio ingepanda afu zikawa zinapatikana TABU NI PALE AMBAPO UNAAMBIWA BEI IMEPANDA NA KUPATIKANA PIA HAZIPATIKANI.
 
Back
Top Bottom