Kulikoni Said Arfi-Mpanda kati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Said Arfi-Mpanda kati

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TUKUTUKU, Nov 3, 2010.

 1. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jamani wana JF imekuwa muda mrefu sana sijasikia matokeo ya mpanda kati,ambapo makamu mnyekiti wa Chadema alikuwa anatetea kiti chake.Mwenye taarifa atujuze,ili tujue hali ya mpiganaji wetu!!!
   
 2. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Uchaguzi umeahirishwa....bandugu utafanyika pale ccm watakapokuwa wamejirithisha kuna ushindi kwao
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi umeahirishwa....bandugu utafanyika pale ccm watakapokuwa wamejirithisha kuna ushindi kwao originally posted by Mzee wa Usafi

  Nachojua mimi uchaguzi uliyoahilishwa ni wa kata na si wa ubunge na rais!!
   
 4. J

  JIWE2 Senior Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Karatasi za kura kwa nafasi ya ubunge hazikuwepo kwa hiyo wananchi walipiga kura za Rais tu. Matokeo ya Urais Dr. Slaa anaongoza kwa zaidi ya 50% huku chadema ikichukua zaidi ya nusu ya viti vya udiwani ambavyo ni 7 katika jimbo zima. CCM haina matumaini ya kuchukua ubunge. Waache waendelee kusaga noti. Ushindi wa Arfi unakuja.
   
Loading...