Elections 2010 Kulikoni Said Arfi-Mpanda kati

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,765
4,033
Jamani wana JF imekuwa muda mrefu sana sijasikia matokeo ya mpanda kati,ambapo makamu mnyekiti wa Chadema alikuwa anatetea kiti chake.Mwenye taarifa atujuze,ili tujue hali ya mpiganaji wetu!!!
 
Uchaguzi umeahirishwa....bandugu utafanyika pale ccm watakapokuwa wamejirithisha kuna ushindi kwao
 
Uchaguzi umeahirishwa....bandugu utafanyika pale ccm watakapokuwa wamejirithisha kuna ushindi kwao originally posted by Mzee wa Usafi

Nachojua mimi uchaguzi uliyoahilishwa ni wa kata na si wa ubunge na rais!!
 
Karatasi za kura kwa nafasi ya ubunge hazikuwepo kwa hiyo wananchi walipiga kura za Rais tu. Matokeo ya Urais Dr. Slaa anaongoza kwa zaidi ya 50% huku chadema ikichukua zaidi ya nusu ya viti vya udiwani ambavyo ni 7 katika jimbo zima. CCM haina matumaini ya kuchukua ubunge. Waache waendelee kusaga noti. Ushindi wa Arfi unakuja.
 
Back
Top Bottom