Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,268
Kwani mmea ukilegea sababu si jua kali? Akinyeshewa atakazaHuyu dogo kalegea atakuwa kuku wa kizungu
😢Shoga uyu toka tunasoma. Benja wao wanacheza under sjui kitu gani kuna mwana Alikuwa anamsugua ukungu
Haya ni maneno mabaya hata kama Kuna ukweli kwa muhusikaShoga uyu toka tunasoma. Benja wao wanacheza under sjui kitu gani kuna mwana Alikuwa anamsugua ukungu
Ni sahihi mkuu,wengi tumemjua kupitia mpira na tunahitaji huduma yake kwa maana ya kuisaidia team mengine ni maisha yake binafsiNi vyema tukajikita zaidi kwenye performance yake na mchango wake katika timu, maswala ya faragha hayana mchango katika timu yake
👍Ni sahihi mkuu,wengi tumemjua kupitia mpira na tunahitaji huduma yake kwa maana ya kuisaidia team mengine ni maisha yake binafsi
🤔Ule msemo mwiko nyuma, dogo ameona isiwe kesi kafanya kweli
Na kocha Mwarabu huyu shauri yakeKabwili jikaze dogo,umelegea sana
Kila mtu na starehe yake, wengine gambe, wengine ndumu, wengine kubandua kama yeye anabanduliwa hiyo ndiyo inamuondolea stress mwacheni na maisha yake.Mbona naona katrend sana huyu dogo je ni kweli wahuni wanamdonyoa nyota?
Watanzania wengi wamejaa mzaha na dhihaka pasipokuangalia mhanga anapitia yapi inapodhihakiwaSijui huwa mna waza nini kuwasema watu vitu kama hivi ?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nimeangalia hiyo video clip ya sekunde kadhaa kwa ukweli wa Mungu huwezi kumtambuwa muhusika.Muogopeni Allah!!! Acheni kumnenea kijana WA watu maneno mabaya kama hayo. Ninyi wote mnao msema Kabwili Ni shoga wakati hamjawahi kumkuta live akiwa anashughulikiwa , ikawe hivyo Kwa watoto wenu WA kiume. Watoto wenu wote wa kiume wakawe mashoga . In Jesus Name . Amen