Acha waoane kwakwel mi pia nilichokwa mwenzio... hivi kwan mtu hawez.ishi mwenyewe bila upuuzi huu? Bora pekeangu kwakwel nakua na free zaidMie ni victim wa hvyo vitu!daah!acha tu!
Nilipenda,niliheshimu,ndugu walinipenda nilijishusha nilipambana!
Nilikua nampa kila anachokitaka kwa muda muafaka!!
Mwisho akaniambia hanihitaji akiulizwa sababu anasema basi tu nimemchoka!hana hata ubaya Ila mie sasa hivi sitaki mke!
Mungu ananiona simsingizii hata angekuepo hapa!
Mwisho nakuja Dar kuuguza narudi nakuta replacement ndani!
Nikageuza kwetu sijarudi tena nmna niliacha kila kitu!
Naanza upyaaa maisha moja kabisa!
Ndoa kwa sasa hapana kwa kweli badoooo!!!
Wacha waoane!
Unaweza Ila ni ngumu kueleweka kwa kweli!!Acha waoane kwakwel mi pia nilichokwa mwenzio... hivi kwan mtu hawez.ishi mwenyewe bila upuuzi huu? Bora pekeangu kwakwel nakua na free zaid
Asante mkuu. Kwahiyo wewe unavumilia hivyohivyo?Ahaha karbu sana ndoani na kuwa makini sana wanawake wa sasa ni pasua vichwa
Duh! Stori yako imenisikitisha pole sanaMie ni victim wa hvyo vitu!daah!acha tu!
Nilipenda,niliheshimu,ndugu walinipenda nilijishusha nilipambana!
Nilikua nampa kila anachokitaka kwa muda muafaka!!
Mwisho akaniambia hanihitaji akiulizwa sababu anasema basi tu nimemchoka!hana hata ubaya Ila mie sasa hivi sitaki mke!
Mungu ananiona simsingizii hata angekuepo hapa!
Mwisho nakuja Dar kuuguza narudi nakuta replacement ndani!
Nikageuza kwetu sijarudi tena nmna niliacha kila kitu!
Naanza upyaaa maisha moja kabisa!
Ndoa kwa sasa hapana kwa kweli badoooo!!!
Wacha waoane!
ameen na hongera pia!Ndoa ni nzuri cha muhimu ni heshima na maelewano pande zote ,hakuna ndoa iliyo na furaha kila siku lazima kutofautiana na kusonga mbele.mimi nina mwaka wa 9 na sijafikiria kuachana kamwe.
Asante nshapoa!Duh! Stori yako imenisikitisha pole sana
Yanaenda wapi?Asante nshapoa!
Maisha yanaenda!
Teh teh teeeeh! Pole mwaya, ila usimuache mume wa ujana wako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]yalikopangiwa kufika!
Niko na grandpa now!
[emoji23] [emoji23] km kakuacha je?Teh teh teeeeh! Pole mwaya, ila usimuache mume wa ujana wako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umemaliza, Ni Mungu pekee ndie solution kwenye migogoro na furaha uwapo ndoaniNdoa ni tendo la kiimani hivyo wanandoa inawapasa kumtanguliza Mungu mbele ili aweze kuilinda ndoa yao. Vijana wa siku hizi wakimaliza kuoana hawamuhusishi tena Mungu wao,, Hawaendi Misikitini wala Makanisani. Hawasali pamaoja! Sala ndio nguzo pekee ya ndoa! Muwekeni Mungu wenu mbele nanyi mtaishi miaka mingi kwa raha daima!
Pia vijana waache kuhusisha maisha ya ndoa na mambo ya social networks.. Social networks ndio chanzo kikubwa cha kuvuruga ndoa nyingi! Wana ndoa wanapotaka kuiga mambo ya watu wengine wanayoyaona kwenye social network ndio tatizo linapoanzia hapo. Mdada anaona mwenzake kila siku katolewa outing na mumewe naye anataka mumewe amfanyie vivyo hivyo bila kujali mpangilio wao wa kimaisha yeye na mwenza wake!
kujiinua na kujiona kila mtu hana shida na mwenzieMkuu kinachofanya ndoa ziwe ngumu siku hizi ni watu kuingia kwenye ndoa bila kuelewa wanakuwa humo kwa sababu gani? Sasa hivi ukisema uulize mtu kwanini amefunga ndoa ni wachache sana watakaokupa majibu ya kuridhisha nilichokiona kwa muda niliokaa kwenye ndoa ni yafuatayo
1. Wanandoa wanajua ni furaha siku zote hakuna nyakati za huzuni, hasira na maumivu
2. Wanafuata mapenzi kwenye ndoa na sio kujenga familia nzuri
3. Hawaelewi kuwa mtu unaeenda kuishi naye ana mapungufu na anaweza kukosea na unapaswa kusamehe over and over bila kuweka kinyongo
4. Watu wanategeana kufanya majukumu yao mfano kuhudumia familia, na kuheshimiana
5. Watu wanakata tamaa mapema sana linapotokea tatizo hawakai kusolve au kufight ndoa iendelee kuwepo
Hayo ndo niliyoyaona na nimeyafanyia kazi kwa kiasi kikubwa nyumba ina amani na ninaimani nitazeeka na mzee tukiwa pamoja in one piece.
mkuu umesema vyema hilo nalo tatizo kubwa kujilinganishaWanandoa hasa wanawake hawataki kujikubali wanapenda maonyesho anataka awe juu zaidi ya wanawake wote vitu ambavyo havimsaidii moja kwa moja social netwek ndo inawaharibu imefikia mahali me nimepiga marufuku insta na fb ili kunusuru ndoa maana ilishakuwa ICU imekata kauli kauli.ndoa ya miaka 9 nilikuwa naivunja ndani ya siku moja!
Mwanamke anakwambia ona kina fulani wanavyoishi vizuri sijui mara hivi,huwezi kujua ndoa za watu ndani wanaishi vipi ni sisi wa nje ndo tunafurahia maisha ya ndoa ya watu wengine ila wao hawana raha ndani inafikia wanataka kuwekeana hata sumu
bora hata ya mimi nafuta pesa na kumiliki vikubwa ..akiamua kugonga vibinti huko watajiju sababu nitabana mpaka penat wataambulia duduu tuYaani hizi ndoa! Tatizo ni kutokujielewa tu na kutambua kwanini unaingia kwenye ndoa. Kikubwa zaidi hofu ya Mungu hakuna.
Kuna boya mmoja anataka kumuacha mke wake eti kisa hajasoma, sasa nikajiuliza wakati anaoa huyo mke alikuwa kasoma ila sasa ndio hana elimu!!
ha haha si ishu ya kucheka ila mkeo duhNi bora kujiishia pekeako tu huu ujinga hata mie nauona unamnyenyekea mke mke anakuona bwege unamkuta anatongozana.na vitoto vya chuo tena vya field... sijazaa wala nn bora.achape lapa bora pekeangu