Kulikoni MWANAJAMIIONE kubadilisha AVATAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni MWANAJAMIIONE kubadilisha AVATAR

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kanyagio, Jun 10, 2011.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,994
  Likes Received: 23,891
  Trophy Points: 280
  Duh!...........Ngoja nikanywe bia!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Eh,,,,,,,,,,,,, nyie watu yaani mwataka mie kila siku niwe kauka nkuvae??................ hamnitendei haki bwana Kanyagioa. Kweli tena please.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwa usumbufu ulomsababishia Mchungaji tafadhali naomba kasichana kale kakonyagi kadogo nililiwaze na kujipoza!
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  babu usiondoke pasipo kunitetea ............ pleeease.

  hawa wanataka mie kila siku nivae kaniki jamani?? nioneeni huruma

  Kanyagio: Avatar ile niliivaa kipingi cha machungu ya maisha....na sasa nimeikubali hali na nimeamua kumove on na maisha yangu sidhani kama bado ninahitaji kumbukumbu ya machungu!! nimeamua kusamehe na kusahau please help me on this please. Najitahidi nifungue moyo mwenzenu (Tpic ya Mbu inahusika hapa) Please nipe nafasi na umisaidie.........
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  kusema ukweli jina linaendana na AVATAR, hebu take a note uone mchungaji Masa aachane na ile avatar yake ya kibabubabu itakuwaje au babu Aspirin aachane na avatar ya katoto kalikoinamisha kichwa!!!
  ila hongera kwa kuwa msichana zaidi (katika avatar).. pia hongera kwa kukubali kuacha kumbukumbu ya machungu!!!
  Teh teh!!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mchungaji haunywi Valuu nina katoni moja hapa haina kazi
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawajui.......

  .............Ya kale yamepita; tazama yamekuwa mapya........................
  Mjukuu Mtiifu; 2011
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,994
  Likes Received: 23,891
  Trophy Points: 280
  Niondoke niende wapi?

  Mpaka huyu Kanyagio (damn sijui la ng'ombe?) anieleze, hivi viwalo nlivokununulia Pakistan hataki uvitinge? Na hayo mapozi bibi alokufunda ili uwe Miss KingStaa hataki yaonyeshe na mikogo yake?

  Uniambie kanijibuje, afu niandalie na ile bakora yangui
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Valuu inapunguza zile nguvu za nani hii!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,994
  Likes Received: 23,891
  Trophy Points: 280
  Unashtakiwa kwa kutaja mvinyo hadharani Ijumaa kuu.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa Babu yangu............sema neno moja tu nami Mjukuu Mtiifu nitatii..........nitumie DHL au??
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mchungaji kwani we unahistaji nguvu nyingi?? ......hata zikipungua hazina madhara kwani haziishi kabisa
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Maji ya uzima kiongozi, usisahau mimi ni Kasisi
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dah!!! Nimeumia tayari Mchungaji hebu piga maombi nirudi katika hali yangu
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kupungua ni dalili za kuisha!
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kanyagio my signature says it all.......but kama unataka ya kale niyarudishe na kuyakumbatia.....mimi ni Mjukuu Mtiifu nitafanya hivyo Babu yangu.

  Baraka za Babu ni bora kuliko mwanasesere.
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mchungaji umefunikwa na uweza na damu.......yeye aliye yote anajua kipimo kikutoshacho. Hii ni kwa faida yako usije ukaingia majaribuni.
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,994
  Likes Received: 23,891
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaaaaa! Mjukuu mtiifu utatii atakachokwambia? Afu huo mpango wa kutumia DHL ndo uchunaji ushaanza au? Ntakusemea kwa bibi akucharaze kama kipindi kile wakati unakojoa kitandani.


  Babu anawatakieni Wikiendi njema....Kuna watu wananisubiri JJ pa ukeee pale!

  Kwaherini watoto na wajukuu wote!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaa ahaaa ngoja nimuulize Mchungaji kama hauzi madawa na yeye
   
Loading...