Kulikoni mbona nguvu kubwa sana inatumika promo ya sensa?

Watawahesabu magasho yao mimi sihesabiwi tena ntakua bar nakula burudani
😝😝😝
255756600965_status_ec3a4072825b4d9dacf80c5bae99c3ff.jpg
 
Sensa ina umuhimu mkubwa sana katika Taifa na kwa sisi wenye umri mkubwa tunakumbuka hamasa zake toka siku za nyuma

Idadi ya watu ni muhimu sana katika kupanga maendeleo ya sehemu na taifa kwa ujumla. Bajeti inapangwa kwa idadi ya watu.
Mtoa mada hajaongelea kutoyafahamu maudhui ya sensa, bali kauliza nguvu kubwa inayosukuma serikali katika kuhamasisha zoezi hilo.

Anajiuliza, hivi serikali ingelitoa maelekezo na tarehe ya sensa bila huu msukumo usiokuwa wa kawaida, watu wasingelihesabiwa?
 
Salama ndugu?

Najiuliza sana... Mbona ilikuwa ni jambo la kawaida tu kwa serikali kutumia mamlaka yake KUTANGAZA TU KWAMBA TAREHE FULANI KUTAKUWA NA ZOEZI LA SENSA... HIVYO WANANCHI MTAPASWA KUFUATA MAAGIZO YAFUATAYO.

Simple...
Sasa hizi promotion kupita kiasi lengo lake ni kweli kuhamasisha tu watu wahesabiwe? Just watu wahesabiwe tu?

Yaani serikali inataka hesabu ya idadi ya watu wake... Inawahamasisha kwa nguvu kubwa hivi...

Pesa nyingi inatumika kila sekta kuhamasisha sensa... Kuanzia kwenye vyombo vya habari michezo wasanii na miziki na kila nyanja... Ni SENSA SENSA...

Hivi kuna SENSA tu kipindi hiki kama kipaumbele cha nchi au kuna kingine chini ya kapeti hakitakiwi kugundulika na ummaa...?

Nilielewa labda ni ka njia ka upigaji ka pesa za umma...pale ambapo niliona habari kwenye UTV ALASIRI LOUNGE jana. Wakiripoti "CHAMA CHA WALEMAVU WA NGOZI WAIOMBA SERIKALI IWAPE FUNGU LA PESA NA WAO... ILI NA WAO WAWEZE KUSAMBAA WILAYA MBALIMBALI NCHINI KUHAMASISHA WATU WENYE ULEMAVU JUU YA KUJIANDAA KUHESABIWA."

Kuna habari vilevile... Kuna kiongozi sikumbuki ni nani alisema...." OLE WAKE ATAKAYEVURUGA ZOEZI HILI LA SENSA".

Najiuliza hizi gharama nyingi zinazotumika kufanya promo kubwa hivi... Inategemea serikali kuzirudishaje?

HII NGUVU INAYOTUMIKA INATIA SHAKA KWAKWELI...

HII SENSA HUENDA HAINA FAIDA KWA MWANANCHI WA KAWAIDA KAMA INAVYOELEZWA...

NINA SHAKA KUNA KAUPIGAJI KABLA, WAKATI WA SENSA AU BAADA YA SENSA... NINA SHAKA...

Ni wasiwasi wangu tu.

NOTE:
* KUSEMA HAYA SIHAMASISHI WALA SINA LENGO LA KUHAMASISHA WATU WASIKUBALI KUHESABIWA.

* BINAFSI Mimi nipo tayari kuhesabiwa(kwangu mimi hainidhuru kwa lolote nikihesabiwa, na nisipohesabiwa vilevile haininufaishi kitu) .

JIANDAE KUHESABIWA... SENSA KWA MAENDELEO YA TAIFA.
Sensa kwa nchi yetu ni kama uchaguzi tu. Kinachonikera ni uvccm kujiona wao wanahatimiliki ya vibarua
 
Mtoa mada hajaongelea kutoyafahamu maudhui ya sensa, bali kauliza nguvu kubwa inayosukuma serikali katika kuhamasisha zoezi hilo.

Anajiuliza, hivi serikali ingelitoa maelekezo na tarehe ya sensa bila huu msukumo usiokuwa wa kawaida, watu wasingelihesabiwa?
Hapa kuna upigaji... Hutoona karani amefika kwako... Na takwimu zitatangazwa...
 
Salama ndugu?

Najiuliza sana... Mbona ilikuwa ni jambo la kawaida tu kwa serikali kutumia mamlaka yake KUTANGAZA TU KWAMBA TAREHE FULANI KUTAKUWA NA ZOEZI LA SENSA... HIVYO WANANCHI MTAPASWA KUFUATA MAAGIZO YAFUATAYO.

Simple...
Sasa hizi promotion kupita kiasi lengo lake ni kweli kuhamasisha tu watu wahesabiwe? Just watu wahesabiwe tu?

Yaani serikali inataka hesabu ya idadi ya watu wake... Inawahamasisha kwa nguvu kubwa hivi...

Pesa nyingi inatumika kila sekta kuhamasisha sensa... Kuanzia kwenye vyombo vya habari michezo wasanii na miziki na kila nyanja... Ni SENSA SENSA...

Hivi kuna SENSA tu kipindi hiki kama kipaumbele cha nchi au kuna kingine chini ya kapeti hakitakiwi kugundulika na ummaa...?

Nilielewa labda ni ka njia ka upigaji ka pesa za umma...pale ambapo niliona habari kwenye UTV ALASIRI LOUNGE jana. Wakiripoti "CHAMA CHA WALEMAVU WA NGOZI WAIOMBA SERIKALI IWAPE FUNGU LA PESA NA WAO... ILI NA WAO WAWEZE KUSAMBAA WILAYA MBALIMBALI NCHINI KUHAMASISHA WATU WENYE ULEMAVU JUU YA KUJIANDAA KUHESABIWA."

Kuna habari vilevile... Kuna kiongozi sikumbuki ni nani alisema...." OLE WAKE ATAKAYEVURUGA ZOEZI HILI LA SENSA".

Najiuliza hizi gharama nyingi zinazotumika kufanya promo kubwa hivi... Inategemea serikali kuzirudishaje?

HII NGUVU INAYOTUMIKA INATIA SHAKA KWAKWELI...

HII SENSA HUENDA HAINA FAIDA KWA MWANANCHI WA KAWAIDA KAMA INAVYOELEZWA...

NINA SHAKA KUNA KAUPIGAJI KABLA, WAKATI WA SENSA AU BAADA YA SENSA... NINA SHAKA...

Ni wasiwasi wangu tu.

NOTE:
* KUSEMA HAYA SIHAMASISHI WALA SINA LENGO LA KUHAMASISHA WATU WASIKUBALI KUHESABIWA.

* BINAFSI Mimi nipo tayari kuhesabiwa(kwangu mimi hainidhuru kwa lolote nikihesabiwa, na nisipohesabiwa vilevile haininufaishi kitu) .

JIANDAE KUHESABIWA... SENSA KWA MAENDELEO YA TAIFA.
Wahesabuji wa watu wawe na ulinzi. Wananchi wamekasirishwa sana na ujinga ule wa CCM. Sidhani kama itakuwa shwari. Watu watapigwa
 
Na walimu wakijazana huko kama makarani msitegemee support ya raia.
 
Kwamba watu nyie 2012/2002 mlikuwa hamjazaliwaaa au ndo unafiki wenyewe huo?!!!!
 
Usije shangaa siku ya Sensa wanaibuka na wengine wa Chanjo ya Covid19 pembeni yao.

Kwamba Hesabu halafu Chanja .......

Ni mawazo yangu tu.
 
Sina muda wa kipuuzi kuhesabiwa, hii serekali inayotafuna billion 12 na watu wanadunda.

Eti SENSA kwa maendeleo ya watu, pumbafuuu maendeleo gani wakati KOBE wamedakwa poland, maendeleo ganu wwakati watu wanapigana vikumbo kuchota fedha za umma

Idiot!!
 
Back
Top Bottom