Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.
Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.
Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.
Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.
Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.
Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?
By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?
Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli